Kashfa zote walizoibua CHADEMA juu ya CCM ni za kutunga

Kashfa zote walizoibua CHADEMA juu ya CCM ni za kutunga

Na Mungu alivyomkubwa

Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema

1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....
6. Magufuli - nyumba za serikali
7.Mkapa - magodi Wa Kiwila
8.Chenge - Mikataba mibovu
9.Kinana - Meli ya meno ya tembo
10.Paul Makonda- kashfa ya vyeti
11....
Hao wote wamehamia CHADEMA na ni viongozi Wa ngazi za juu katika chama hicho. Ongezea na wengine niliowasahau.
 
CCM Kama Taasisi haijawahi kumtuhumu Chenge Nina Hao wote uliowataja lakin Chadema Kama Taasisi ilishawahi kumtuhumu Edward Lowassa na baadae ikamteua Kama Ndio Mwanachama Mwenye sifa zaid kuwania Urais halafu kwa uzwazwa wako huoni Unafiki wa Chadema
Kama ni hivyo kwanini na nyie ccm mnatuhumu mtu huyo huyo anapotoka ccm .maana ni heri chadema watadai walikuwa wanatuhumu wizara ya serikali ya ccm .mpaka hapo mnafiki nani ccm mliokua mnasema sio mwizi .lakini akitoka akienda chadema mnasema ni kweli alikuwa mwizi .nani mnafiki hapa tena mwenyekesi ya kujibu kumficha mwizi !!??
 
Mtoa uzi umechemkaaaa.kashfa zote za ccm juu ya wizi na ufisadi ni kweli tupu lkn tatizo ni kushindwa kwao kusimamia wanayoyasema.
Mtuhumiwa akija kwao wanampokea fasta eti chama ni watu,hapo ndo utajua kuwa cdm hawana wanalosimamia yaan anaemkimbiza mwizi ndie anaemtetea akikamatwa!!
Magufuli ndo kiboko ya hao wote cdm na ccm
 
6. Magufuli - nyumba za serikali
7.Mkapa - magodi Wa Kiwila
8.Chenge - Mikataba mibovu
9.Kinana - Meli ya meno ya tembo
10.Paul Makonda- kashfa ya vyeti
11....
Hao wote wamehamia CHADEMA na ni viongozi Wa ngazi za juu katika chama hicho. Ongezea na wengine niliowasahau.

Hao wote wangehamia Chadema wangepata nafasi yoyote ya kugombea Kama ilivyokuwa kwa Lowassa, Masha, Sumaye n.k kila alietoka CCM akipambana na Kamanda wa Chadema Chama chenu huwa kinampa nafasi alietoka CCM
 
JPM Hakuwa kwenye list of shame na angekuwepo huenda asingekuwa Rais

Kwa hiyo list of shame ndiyo authoritative voice kwenye suala la ufisadi Tanzania? Magufuli hakuwepo kwenye hiyo list, lakini ripoti za CAG zimemhusisha na ufisadi alipokuwa waziri.
 
Acheni kufananisha ccm na vyama vya kipumbavu ambavyo havina hata ofisi. Level ya ccm ni A.N.C, ZANU P.F, FRELIMO
Tofauti moja ni kwamba chini ya CCM Tanzania imeendelea kuwa ni ya maskini ya kutupwa!
 
Unataka kusema kashfa zifuatazo si kweli au una maana gani Stroke?

1. Buzwagi
2. Meremeta
3. Deep Green
4. IPTL
5. NIDA
6. Richmond
7. Escrow
8. EPA
9. Madudu kwenye Halmashauri za Miji + Ripoti za mwaka za CAG.
10. Maliasili, Madini nk nk
Kamuulize Lowasa, Sumaye na Nyalandu
 
Na Mungu alivyomkubwa

Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema

1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....
MBONA HUJAWASEMA...Mkapa ,chenge,tibaijuka,noni,makamba,mkono,mwang'onda,rizmoja,jk,jpm,mtotot wa mkulima,malima,,,,,,
 
Na Mungu alivyomkubwa

Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema

1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....
Ukweli mtamu ila huwa unauma sana
 
Kwa hiyo list of shame ndiyo authoritative voice kwenye suala la ufisadi Tanzania? Magufuli hakuwepo kwenye hiyo list, lakini ripoti za CAG zimemhusisha na ufisadi alipokuwa waziri.
Leo unaikana List of shame kwa kuwa tu Bwana wenu yumo kwny orodha?
Asingekuwemo ungeandika ulichoandika?
 
Na Mungu alivyomkubwa

Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema

1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) Lawrence Masha
7.)...


Mbona hamueleweki sasa?

Mwenzio anasema tuhuma ni za uongo wewe unaongea kinyume chake. Kwa mujibu wa stroke hao wote walizushiwa uongo na CHADEMA ili aajipatie umaarufu wa kisiasa. In other words wako clean!

So what is your point?
 
Hivi itikadi ya Chadema ni ipi? Inawezekana ni chama pekee duniani kisicho na itikadi
 
Cha ajabu mtuhumiwa mwingine ndiye Rais wa nchi! Watuhumiwa wengine walipewa uwaziri, uenyekiti wa bunge n.k.

Ufisadi ni synonymy ya CCM!
Sitaamini chochote kibaya kitakacho semwa na chadema juu ya Ubaya wa ccm kwani hawa watu hawaeleweki. Wanatufanya watanzania kama watoto. Wamekua popo. Leo wanasema flani mchafu kesho wanasea msafi. Ukihoji wanasema mpelekeni mahakamani wakati wao ndo walituaminisha kuwa mhusika ni mchafu.
 
Back
Top Bottom