CCM ni kichaka cha. .....
Ni za kutunga kwa lengo la kujipatia umaarufu tu wa kisiasa ili kuonekana mbele ya jamii kama watetezi wa kweli ilhali ni mafisadi tu waliojificha kwenye ngozi za kondoo.
Chadema imekua ikiibua hoja mbali mbali zenye lengo la kuifanya ccm na wanachama wake kuonekana wachafu mbele ya jamii, lakini watu hao hao wanapovuka mpaka kwenda upande wao tuhuma zote hubadilika na kuwa sifa. Makosa Yote yaliyoainishwa juu ya wahusika hufutwa kabisa na kuonekana kama vile jambo hilo halikuwahi kutendwa na mhusika au kuwahi kutokea.
Kitendo hicho cha kufuta shutuma na kashfa juu ya wahusika pindi wanapokua upande wao, inaleta hitimisho kuwa tuhuma walizozitoa hazikuwa na ukweli wowote, na zilitolewa kwa lengo la kupotosha, kukuza umaarufu wa kisiasa wa mtoa tuhuma na kuwatishia wahusika ili wahame kambi.
Aina hii ya siasa za vitisho kwa kashfa za kutunga ni mbaya sana na inatakiwa kupingwa kwa kila namna na wapenda demokrasia wote na siasa safi zenye kuleta changamoto chanya kwenye maendeleo ya Taifa letu.

Kalipeni madeni mtuletee BON MBADIA[emoji196]Ni za kutunga kwa lengo la kujipatia umaarufu tu wa kisiasa ili kuonekana mbele ya jamii kama watetezi wa kweli ilhali ni mafisadi tu waliojificha kwenye ngozi za kondoo.
Chadema imekua ikiibua hoja mbali mbali zenye lengo la kuifanya ccm na wanachama wake kuonekana wachafu mbele ya jamii, lakini watu hao hao wanapovuka mpaka kwenda upande wao tuhuma zote hubadilika na kuwa sifa. Makosa Yote yaliyoainishwa juu ya wahusika hufutwa kabisa na kuonekana kama vile jambo hilo halikuwahi kutendwa na mhusika au kuwahi kutokea.
Kitendo hicho cha kufuta shutuma na kashfa juu ya wahusika pindi wanapokua upande wao, inaleta hitimisho kuwa tuhuma walizozitoa hazikuwa na ukweli wowote, na zilitolewa kwa lengo la kupotosha, kukuza umaarufu wa kisiasa wa mtoa tuhuma na kuwatishia wahusika ili wahame kambi.
Aina hii ya siasa za vitisho kwa kashfa za kutunga ni mbaya sana na inatakiwa kupingwa kwa kila namna na wapenda demokrasia wote na siasa safi zenye kuleta changamoto chanya kwenye maendeleo ya Taifa letu.
Hawa wemetoka chama gani vilee[emoji844] [emoji844] [emoji196] [emoji218] [emoji241]Na Mungu alivyomkubwa
Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema
1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) Lawrence Masha
7.)...
[HASHTAG]#Kivuko[/HASHTAG] ctha maguUnataka kusema kashfa zifuatazo si kweli au una maana gani Stroke?
1. Buzwagi
2. Meremeta
3. Deep Green
4. IPTL
5. NIDA
6. Richmond
7. Escrow
8. EPA
9. Madudu kwenye Halmashauri za Miji + Ripoti za mwaka za CAG.
10. Maliasili, Madini nk nk
Yalyobakia yooote mizigo yenu[emoji241]Namba 6 na 10 majibu yake mnayo;
Bombadia[emoji574] yetu vepeeeeWanachopigania kulinda ni majimbo yao ya uchaguzi tu at any cost, hawana plan nyingine zaidi ya hapo.
Malengo mporomoko[emoji196] [emoji218] [emoji844] [emoji844]Ndugu yangu unamawazo mazuri sana. Ila nadhani umeshindwa kutofautisha upinzani wa enzi hizo na upinzani wa sasa. Kwasasa upinzani ( CHADEMA) hawaisaidii serikali zaidi wanachofanya wanatumia nguvu nyingi kuhakikisha serikali haifikii malengo iliyokusudia kwa wananchi wake ili wao wajijenge kisiasa.
Ni mwanasiasa gani huko CHADEMA aliwahi kuwa msafi akiwa CCM? Hatukumbuki list of shame ya Mwembe Yanga na leo hao walotajwa ndo viongozi huko? Hatuwaoni akina Zero? Je, na hao wezi wa wanyama pori waliopandisha tumbili kwenye ndege ya watalii hawako huko?
Usiniingize huko maana naweza kuyafumua mengi.
Kinachoshangaza serikali ikiwafuatilia wahusika chadema wanasema wanaonewa. Na chadema ipo tayari kuweka wanasheria wake kuwatetea wahusika. Hapo ndipo utakapojua kwann magu anawanyoosha. Na nina uhakika mtanyooka tu mpende msipende
Mimi sio miongoni mwa hao "wenu". Ila kifupi ufisadi wote ni mbaya kwa Taifa na nataka wote wenye kuhusika wapelekwe Mahakamani. PERIOD.Kwamfano hiyo ya 10 hasahasa maliasili likinukishwa mtamtetea huyo mgeni wenu?
Asante Wabe, tena zote hazina itikadi. Ufisadi ni mbaya sana na popote walipo wahalifu walitakiwa kushughulikiwa kwa muijibu wa Sheria kwa kupelekewa kwenye Mahakama za Sheria.hizi zote ni kweli
na ukweli ziko chache tu, haujaweka Loliondo n.k