Kashfa zote walizoibua CHADEMA juu ya CCM ni za kutunga

Na Mungu alivyomkubwa

Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema

1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....

Sasa mafisadi wako wapi? ndiyomaana nimeelewa kwa sasa ni ngumu sana kutaja fisadi ukiwa Chadema maana unahatarisha kadi yako, du kama kubadirishana magoli kipidi baada ya mapumziko.
 
Ni za kutunga kwa lengo la kujipatia umaarufu tu wa kisiasa ili kuonekana mbele ya jamii kama watetezi wa kweli ilhali ni mafisadi tu waliojificha kwenye ngozi za kondoo.

Chadema imekua ikiibua hoja mbali mbali zenye lengo la kuifanya ccm na wanachama wake kuonekana wachafu mbele ya jamii, lakini watu hao hao wanapovuka mpaka kwenda upande wao tuhuma zote hubadilika na kuwa sifa. Makosa Yote yaliyoainishwa juu ya wahusika hufutwa kabisa na kuonekana kama vile jambo hilo halikuwahi kutendwa na mhusika au kuwahi kutokea.

Kitendo hicho cha kufuta shutuma na kashfa juu ya wahusika pindi wanapokua upande wao, inaleta hitimisho kuwa tuhuma walizozitoa hazikuwa na ukweli wowote, na zilitolewa kwa lengo la kupotosha, kukuza umaarufu wa kisiasa wa mtoa tuhuma na kuwatishia wahusika ili wahame kambi.

Aina hii ya siasa za vitisho kwa kashfa za kutunga ni mbaya sana na inatakiwa kupingwa kwa kila namna na wapenda demokrasia wote na siasa safi zenye kuleta changamoto chanya kwenye maendeleo ya Taifa letu.
Kama ni wakweli kuhusiana na tuhuma walizowatwisha hao walionao, basi ni vyema CCM ikatafuta jina lingine na CHADEMA ikawa CCM! La sivyo, basi wawaombe wote wenye tuhuma mbalimbali wahamie kwao ili wawaogeshe / wawatakatishe ili Tanzania iwe safi na salama!
 
1ea0327cd47315900bdc6f1fe04c9140.jpg

asante CCM
 
Ni za kutunga kwa lengo la kujipatia umaarufu tu wa kisiasa ili kuonekana mbele ya jamii kama watetezi wa kweli ilhali ni mafisadi tu waliojificha kwenye ngozi za kondoo.

Chadema imekua ikiibua hoja mbali mbali zenye lengo la kuifanya ccm na wanachama wake kuonekana wachafu mbele ya jamii, lakini watu hao hao wanapovuka mpaka kwenda upande wao tuhuma zote hubadilika na kuwa sifa. Makosa Yote yaliyoainishwa juu ya wahusika hufutwa kabisa na kuonekana kama vile jambo hilo halikuwahi kutendwa na mhusika au kuwahi kutokea.

Kitendo hicho cha kufuta shutuma na kashfa juu ya wahusika pindi wanapokua upande wao, inaleta hitimisho kuwa tuhuma walizozitoa hazikuwa na ukweli wowote, na zilitolewa kwa lengo la kupotosha, kukuza umaarufu wa kisiasa wa mtoa tuhuma na kuwatishia wahusika ili wahame kambi.

Aina hii ya siasa za vitisho kwa kashfa za kutunga ni mbaya sana na inatakiwa kupingwa kwa kila namna na wapenda demokrasia wote na siasa safi zenye kuleta changamoto chanya kwenye maendeleo ya Taifa letu.
Wapi hayo maendeleo unayosemea .wewe nenda ukasikilize radio na mama nyumbani kijijini.huku mjini atukuelewi kabisa .unasema mnatungiwa shutuma za uongo alafu utaji aataa moja uongo na ukweli wake ni upi ..[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Na Mungu alivyomkubwa

Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema

1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....
Tuhuma zote za mawaziri hupitishwa na Baraza la Mawaziri chini ya mwenyekiti wa baraza hilo rais wa nchi, kwahiyo tuhuma zote hupitishwa kwa kukubaliwa na baraza lote la mawaziri ambalo linakuwa chini ya rais ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm taifa.
 
Chadema wanatumia mbinu ya kuwatisha wana ccm kwa kashfa hewa kwa ahadi za kuwasafisha pindi wanapohamia huko.
Sio nyie mnasema nyarandu kakimbia tuhuma zinazomkabili... au nyie ndio mnawatisha na wengine watakao toka
 
Tuhuma zote za mawaziri hupitishwa na Baraza la Mawaziri chini ya mwenyekiti wa baraza hilo rais wa nchi, kwahiyo tuhuma zote hupitishwa kwa kukubaliwa na baraza lote la mawaziri ambalo linakuwa chini ya rais ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm taifa.

Ndio umeandika nini?

Tuhuma zote hupitishwa na Baraza la Mawaziri?

Ile list of Shame iliyotuhumu Watu 11 ilipitishwa na Hilo baraza?

Mliokuwa mnawatuhumu kwa Ufisadi wakihamia kwenu inakuwa vyema sanaa
 
Na Mungu alivyomkubwa

Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema

1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....
kama ni shutuma tuu Vipi Magu,Chenge,Ngeleja,Maige,,Muhongo,Tibaijuka,Chawene,Kagasheki,Magembe,Anne Malecela,Kitwanga na wengineo wengi tuu na wako chadema !!?? Alafu ilikujua unafiki wa maccm Chenge ahamue leo hii kujiunga chadema ..duuh yaani hizo shutuma zitakazotolewa Osama atakuwa malaika
 
CCM Kama Taasisi haijawahi kumtuhumu Chenge Nina Hao wote uliowataja lakin Chadema Kama Taasisi ilishawahi kumtuhumu Edward Lowassa na baadae ikamteua Kama Ndio Mwanachama Mwenye sifa zaid kuwania Urais halafu kwa uzwazwa wako huoni Unafiki wa Chadema
 
Na Mungu alivyomkubwa

Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema

1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....
Mbona hututajii na mafisadi wengine waliobaki huko??? au unataka kusema sasa wamekwisha??
 
Lowassa kaokoka?Tufanye wote walioenda chadema wameokoka,mtu akiokoka huwa mstari wa mbele kukemea dhambi. Ni lini lowasa au sumaye alikemea ufisadi?

Mtu akiokoka kanisa aliachi kukemea dhambi,mbona chadema toka Lowassa alivoingia huko Ile agenda yao ya kupambana na ufisadi wameizima? Au fisadi alikua lowasa tu na sasa huku wameisha?
Hahahaaaaa, wakiokoka hao, mnikate kidole
 
Lawrence Masha nae mlimtuhumu kwny Vitambulisho vya Taifa NiDa nae amewa join
Walimtuhumu. Mimi si mmoja wao. Hiyo principle yako ya "You are either with us or against us" ni ya kijinga. Swali langu ni kwamba, walipomtuhumu kwa vitambulisho vya taifa, hatua gani zilichukuliwa?
 
Chadema ndio waliotuhumu kina Nyalandu na Lowassa halafu wao ndio wanasema sasa kuwa walisingiziwa zile tuhuma,

Kwanini nisiamini Jamaa ni wasingiziaji Kama wenyewe wamekiri?
Tuache Chadema, CCM mnasemaje kuhusu Lowassa na Nyalandu ni mafisadi au siyo mafisadi?
 
Walimtuhumu. Mimi si mmoja wao. Hiyo principle yako ya "You are either with us or against us" ni ya kijinga. Swali langu ni kwamba, walipomtuhumu kwa vitambulisho vya taifa, hatua gani zilichukuliwa?

Hatua zilizochukuliwa ni kwa waliokuwa wanatuhumu kumpendekeza Mtuhumiwa agombee Ubunge wa Africa Mashariki lakin Bunge likakataa, Akarudishwa Tena lakin Bunge likakataa!
 
Back
Top Bottom