Tuache Chadema, CCM mnasemaje kuhusu Lowassa na Nyalandu ni mafisadi au siyo mafisadi?
Tutaachaje Chadema wakati wao ndio Mabingwa na ni Waasis wa Kuwatuhumu Nyalandu na Lowassa?
Tuache Chadema, CCM mnasemaje kuhusu Lowassa na Nyalandu ni mafisadi au siyo mafisadi?
Tutaachaje Chadema wakati wao ndio Mabingwa na ni Waasis wa Kuwatuhumu Nyalandu na Lowassa?
Chadema ni genge la watafta vyeo na ruzuku kwa kofia ya siasa
EPA, Buzwagi, Tangold, Kagoda....nazo za kutungwa? Try again!Ni za kutunga kwa lengo la kujipatia umaarufu tu wa kisiasa ili kuonekana mbele ya jamii kama watetezi wa kweli ilhali ni mafisadi tu waliojificha kwenye ngozi za kondoo.
Chadema imekua ikiibua hoja mbali mbali zenye lengo la kuifanya ccm na wanachama wake kuonekana wachafu mbele ya jamii, lakini watu hao hao wanapovuka mpaka kwenda upande wao tuhuma zote hubadilika na kuwa sifa. Makosa Yote yaliyoainishwa juu ya wahusika hufutwa kabisa na kuonekana kama vile jambo hilo halikuwahi kutendwa na mhusika au kuwahi kutokea.
Kitendo hicho cha kufuta shutuma na kashfa juu ya wahusika pindi wanapokua upande wao, inaleta hitimisho kuwa tuhuma walizozitoa hazikuwa na ukweli wowote, na zilitolewa kwa lengo la kupotosha, kukuza umaarufu wa kisiasa wa mtoa tuhuma na kuwatishia wahusika ili wahame kambi.
Aina hii ya siasa za vitisho kwa kashfa za kutunga ni mbaya sana na inatakiwa kupingwa kwa kila namna na wapenda demokrasia wote na siasa safi zenye kuleta changamoto chanya kwenye maendeleo ya Taifa letu.
Na Mungu alivyomkubwa
Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema
1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....
Ndivyo ulivyokaririshwaCha ajabu mtuhumiwa mwingine ndiye Rais wa nchi! Watuhumiwa wengine walipewa uwaziri, uenyekiti wa bunge n.k.
Ufisadi ni synonymy ya CCM!
Unataka kusema kashfa zifuatazo si kweli au una maana gani Stroke?
1. Buzwagi
2. Meremeta
3. Deep Green
4. IPTL
5. NIDA
6. Richmond
7. Escrow
8. EPA
9. Madudu kwenye Halmashauri za Miji + Ripoti za mwaka za CAG.
10. Maliasili, Madini nk nk
Malizia Kikwete na Magufuli.Na Mungu alivyomkubwa
Wana CCM wote waliokuwa wanashutumiwa kwa kashfa kubwa kubwa na Chadema wamehamia Chadema
1) Lowassa
2) Sumaye
3) Mzee Kingunge
4) Makongoro Mahanga
5) Nyalandu
6) ....
Hizo zilizobaki vpNamba 6 na 10 majibu yake mnayo;
Ni za kutunga kwa lengo la kujipatia umaarufu tu wa kisiasa ili kuonekana mbele ya jamii kama watetezi wa kweli ilhali ni mafisadi tu waliojificha kwenye ngozi za kondoo.
Chadema imekua ikiibua hoja mbali mbali zenye lengo la kuifanya ccm na wanachama wake kuonekana wachafu mbele ya jamii, lakini watu hao hao wanapovuka mpaka kwenda upande wao tuhuma zote hubadilika na kuwa sifa. Makosa Yote yaliyoainishwa juu ya wahusika hufutwa kabisa na kuonekana kama vile jambo hilo halikuwahi kutendwa na mhusika au kuwahi kutokea.
Kitendo hicho cha kufuta shutuma na kashfa juu ya wahusika pindi wanapokua upande wao, inaleta hitimisho kuwa tuhuma walizozitoa hazikuwa na ukweli wowote, na zilitolewa kwa lengo la kupotosha, kukuza umaarufu wa kisiasa wa mtoa tuhuma na kuwatishia wahusika ili wahame kambi.
Aina hii ya siasa za vitisho kwa kashfa za kutunga ni mbaya sana na inatakiwa kupingwa kwa kila namna na wapenda demokrasia wote na siasa safi zenye kuleta changamoto chanya kwenye maendeleo ya Taifa letu.
Uzuri hata ndani ya serikali na katika CCM bado kuna waandamizi wako huko kwa kuzuga lakini ukiwachana bado wana damu za LOWASSA mtupu na wana roho za kichadema...... waliofanikisha MADILI ya hapo juu majority wana katika kategori hizo mbili...... kama si Roho za kichadema anakuwa Damu lowassa mtupu,,,Unataka kusema kashfa zifuatazo si kweli au una maana gani Stroke?
1. Buzwagi
2. Meremeta
3. Deep Green
4. IPTL
5. NIDA
6. Richmond
7. Escrow
8. EPA
9. Madudu kwenye Halmashauri za Miji + Ripoti za mwaka za CAG.
10. Maliasili, Madini nk nk
JPM Hakuwa kwenye list of shame na angekuwepo huenda asingekuwa Rais