Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Usinilazimishe nijadili masuala nisiyoyajua. Wewe kama umeaminishwa hapo Kinondoni, jadilimtu. Hapa Lumumba tunatema facts tu

mnafact ngap mnazotakiwa kuzijadili lumumba mpaka mchukue hii ndo fact yenu ya muhimu?? ndio maana nakushauri nenda shule ukasome ujue major na minor tatizo la Lumumba mna major minor na mna minor major hebu kaa tafakari mna mambo mangap ya kujadili hapa JF?? ndio maana baada ya kupata gesi mtwara mkampandishia mwananchi wa chini umeme na gesi yenyewe sababu shule ndogo.
 
If you want privacy be private, if you go public even your private life goes public. Mbowe ni kiongozi wa umma, ambaye anaweza kuwa na ofisi ya umma hata zaidi ya aliyonayo sasa. If he accept this fact then he should accept public scrutiny. Kama bwana Mussa wa Uwanja wa fisi (ambaye ni no body) does that, who cares?
 
hivi ndani ya JF kuna page nyingi tu. kuna jukwaa la siasa michezo, utani na mengineyo inakuwaje tunakuwa hatuelewi? Mambo ya pale tunayaleta hapa ya hapa tunayapeleka pale inamaana hatuelewi?

Kwanza napenda kumpongeza mwanzilishi wa JF, Katenga majukwaa safi sana ila nashanga kuna watu wanaingiza mada za mipasho kwenye jukwaa la siasa sielewi wanaelewa maana ya siasa au ndio kusoma pasipo kuelimika.

Fulani anadaiwa, Fulani kazaa nnje ya ndoa, fulani alisha wahi kuhongwa gari na fulani. Sielewi vizuri kwani siasa maanayake ni uongo na kupakaziana? Siamini kama ni hivyo, Wenzetu nchi nyingine wasingeendelea kupiti siasa kama ingekuwa siasa ni uongo na kupakaziana.

Ombi langu kwa mwazirishi wa JF awe anakagua kwanza kama mtu kaweka mada ya siasa anairuhusu kama ya mipasho na inayo mtaja mwanasiasa ipelekwe kwenye mipasho kama hakuna jukwaa la mipasho basi watengenezee, Sio kila mtu akituma mada ikimtaja mfano Mbowe, Mwigulu, Zitto, Dewiji na wengineo basi ni Siasa si kweli Mfano Zitto ni mmoja wa viongozi wa kamati pale TFF, Dewiji kwenye bodi ya wenyeviwanda yupo, Ombi langu mada zichambuliwe kwanza ndio zionekane ni aibu sana.

Msishangae kwanini nimetuma malalamiko kwenye Jukwaa la siasa, nataka wanajukwaa hili muone na mwazinilishi aone tunapoteza maana ya jukwaa la siasa, tunajadili zaidi mambo binafsi sio siasa.
na ndugu zangu kama tutalitumia vizuri hili jukwaa tutapata viongozi bora kabisa na kuendeleza nchi yetu
Aksanteni sana.
Wafanya siasa wenyewe watu wa mipasho wewe unategemea nini?

0+0=0 bhasssssi.Ila asante kwa kutukumbusha sababu sisi kwakujifanya tunasahau?
 
Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.
Kikwete kazaa na Wanawake wengi.hata yeye ni Mzinzi ila kwako yupo sahihi na anafaa kuwa kiongozi.
 
Tukianza kukamatana uzinzi na uasherati hakuna atakayebaki salama kuanzia mwenyekiti serikali ya mtaa hadi mkuu wa nchi -- wote tuna vijumba vidogo vidogo tunavijua kwa sura na majina.

Tena napendekeza tuanzie Dodoma Mjengoni kule ndiyo balaa!!!!,
 
Viongozi wa CHADEMA ni majanga tupu.

Kwa hiyo kumbe Mh. Mbowe ni mzinzi kwa maana nyingine, tuhuma hizi ni za kweli.

Sasa kama maswala ya Uzinzi ni private affairs. Vipi hili swala la kupewa millions pesa za Tanzania na wale wale kila mara alikuwa akipanda kwenye majukwaa alikuwa anawaita mafisadi.

Pesa za huyu kada wa CCM alizochukua nazo ni private affairs

View attachment 132573

Tunaomba tufahamu mipaka ya private affairs nchini

Kama ameweza kuijibu hoja ya uzinzi, kwa nini hakutaka kuijibu hoja ya "double agent" kwa maana kuwa, mchana ni mpiga vita mafisadi na usiku ni mpokea pesa za mafisadi

Mwigulu alipofumaniwa kule Igunga na kufifisha soo kwa kutoa mil.5 mbona haukulivalia njuga, na vipi ile safari batili ya Mwigulu kule UK na USA ambayo kiuhalisia alitumia fedha za chama Kwa mambo binafsi mbona hili pia haukulishikia bango?
 
Huyu mjomba Lissu kweli fyatu. Yaani amemuhusisha na Madiba kwenye kashfa ya ngono? Katika vitabu vya Madiba nilivyovisoma sijawahi kuona mahala popote ambapo Madiba alikuwa na kashfa ya ngono.
 
Mkuu,
Nyie vijana ni noma!Hizo story zote mmezitoa wapi?Mbona unaongea kwa details kama wewe ndio Mbowe mwenyewe!Au na wewe ndo walewale warithi wa Shigongo?

Hivi taratibu za kuchagua wabunge wa viti maalum vikoje?Yaani mtu anaweza akakutana na mdada barabarani akamchagua kuwa mbunge wa viti maalum?Bila background yoyote,bila particulars zozote?Halafu akala nae uroda na kumtimua!

Je mwenyekiti wa chama ndiye anayeteua wabunge wa viti maalum au kamati kuu ndio inahusika?
Unataka kusema Joyce Mukya hana historia yoyote ndani ya Chadema?

Mbona mie nimekuwa nikimsikia kitambo akijihusisha na siasa za Chadema?

Na mbaya zaidi unapomwongelea Mbowe "kumbaka" Joyce Mukya kama "anabaka" kuku au bata!Au mtu ambaye hajitambui na kipofu!Huyu ni mama mtu mzima for god's sake!Tofauti kabisa na kale katoto ka Kapuya!

Hayo uliyoandika hapo juu HAYAWEZEKANI na UZUSHI!
Mkuu, kama hujui kitu we nyamaza tu. umeuliza maswali mengi ambayo mengine majibu yake unayo. Kumbuka ubakaji wa Mbowe ni kwa sababu ya madaraka yake. Hana tofauti na waajiri wanaoajiri kwa misingi ya ngono
 
Yaani hata viongozi wa upinzania tunaowategemea waibane serikali kila kona kwenye maadili ,matumizi na utekelezaji nao hawatosheki na wake zao? maana yake hawatatosheka na mishahara yao nao pia watapokea rushwa kwa ukubwa wa familia zao na majukumu.Je tutafika.

Mke wa Mbowe anakuhusu nini wewe?
 
Mkuu, kama unavyojua kuna orodha ya wabunge wa viti maalum ambao CHADEMA imewaweka kwenye hatari ya kuwafukuza kutokana na kumuunga mkono Zitto. Joyce Mukya ni mkojawapo. Huyu Joyce si tu anampenda Zitto kisiasa, bali pia ni mpenzi wake. Mbowe analijua hilo. Na inaelezwa kuwa moja ya sababu ya Mbowe kuendeleza ubakaji kwa Joyce ni kutaka kumkomoa Zitto. Hivyo hivi vita kati ya mbowe na Zitto ni zaidi ya uenyekiti wa chadema. Inaelezwa pia kuwa wakati Joyce aliposhiba mimba ya ambiwe, Zitto Kabwe alimtorosha nchini Uingereza ambako aliishi mpaka kajifungua mtoto.

tukirudi kwenye hoja, ili kumlaghai Joyce asitimuliwe, Mbowe akatumia ulaghai wake kuwa hatamfukuza Joyce ikiwa atakubali kuendelea kulala naye hasa kwenye jumba lake la kifahari huko Dubai.mtena kamdanganya eti ndoa yake na Lilian Mtei ikisanbaratika, yeye ndo atamilikishwa majumba hayo ya Dubai. Pia Joyce Mukya amehadaiwa kuwa ikiwa Mbowe atakuwa Rais wa nchi, yeye Joyce ndo anastahili kuwa First Lady na si Lilian Mtei ambaye hana mvuto
Uzuri Mungu ataleta hukumuni kila neno na kila tendo.Mama riz na salima nani alistahili kuwa First Lady.
 
Ni bora kila mtu akakomaa kivyake kuliko kuwategemea wanasiasa wetu hawa! siyo chadema wala ccm ambayo itaweza kutokumboa wanyonge! hizo habari za akina mbowe zisituumize vichwa! wote ni wale wale!
 
Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.

How did you know that ? CDM HAITAFUTI MALAIKA TUNACHOKITAKA NI UONGOZI BORA , HATUTAFUTI UONGOZI WA KIROHO , MMECHEMSHA KWA KISIKI SLAA MNAMUANDAMA MBOWE , HAMTASHINDA ! MARA NGAPI WEWE UMESALITI NDOA YAKO , MBONA SISI TUMEKUANGALIA TU , POOR YOU NA HIYO MIMAJITAKA YAKO !
 
Haya ni mambo ya ndani (binafsi) hatuhitaji kuyajadili hapa! Kila mtu ana namna yake kifamilia na tusitumie uongozi wa umma kudhoofisha familia zetu!
Kama mke wange hamtoshelezi afanyeje? Au nani hapa hana mapungufu yake kifamilia?
 
Nasikia hata Riz ni mtoto wa nje.

teh, mkuu japo buku7 ndo wachokozi lakini nakuomba utumie tafsida kwa heshima ya Ikulu ya Tanzania. TUNAJUA KULE IKULU UCHAFU UPO MWINGI TU. Ila tukisema hapa utaskia tunakashifu viongozi. yale yale ya kunya anye kuku lakini si bata.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom