Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
katika hotuba moja ya Nyerere alisema,nanukuru,"waziri m1 mdogo alionekana akitembea na mwanamke wa mitaan,baada ya kupata mashinikizo alimwandikia barua waziri mkuu ambapo wala hakujibiwa matokeo yake waziri mkuu alimtegeua mtu mwingine" mwisho wa nukuru,UZINZ UMTIA DOA KIONGOZ.
 
- Utachukua dola kwa kwenda kuwapa power over you magazeti ya Udaku? Poleni sana ukute watu kama wewe ndio washauri wa Mbowe wa siasa sitanshangaa!!

Le Mutuz
Mkuu jitambue umri umekutupa mkono na mpaka sasa hujui ufanyalo hata mtoto wa dawa huna au wewe mambo swafi nini?
 
Teh teh teh!Wewe mbaya wewe!

Yaani unamaanisha kale katoto kalikuwa kalikuwa kanafurahia kubakwa?Sasa kwa nini kalienda kushitaki bungeni?
Halafu kumbuka kaliambiwa kaende pale hotelini kapewe karo ya shule,kakaambulia kubakwa ati!?Sasa huyo Joyce Mukya aliambiwa na Mbowe wakutane Dubai akapewe nini mpaka afikie "kubakwa",maana tayari ni Mbunge ati!

Teh teh teh!
Mkuu, kama unavyojua kuna orodha ya wabunge wa viti maalum ambao CHADEMA imewaweka kwenye hatari ya kuwafukuza kutokana na kumuunga mkono Zitto. Joyce Mukya ni mkojawapo. Huyu Joyce si tu anampenda Zitto kisiasa, bali pia ni mpenzi wake. Mbowe analijua hilo. Na inaelezwa kuwa moja ya sababu ya Mbowe kuendeleza ubakaji kwa Joyce ni kutaka kumkomoa Zitto. Hivyo hivi vita kati ya mbowe na Zitto ni zaidi ya uenyekiti wa chadema. Inaelezwa pia kuwa wakati Joyce aliposhiba mimba ya ambiwe, Zitto Kabwe alimtorosha nchini Uingereza ambako aliishi mpaka kajifungua mtoto.

tukirudi kwenye hoja, ili kumlaghai Joyce asitimuliwe, Mbowe akatumia ulaghai wake kuwa hatamfukuza Joyce ikiwa atakubali kuendelea kulala naye hasa kwenye jumba lake la kifahari huko Dubai.mtena kamdanganya eti ndoa yake na Lilian Mtei ikisanbaratika, yeye ndo atamilikishwa majumba hayo ya Dubai. Pia Joyce Mukya amehadaiwa kuwa ikiwa Mbowe atakuwa Rais wa nchi, yeye Joyce ndo anastahili kuwa First Lady na si Lilian Mtei ambaye hana mvuto
 
Mkuu, ukienda in deep kwenye tafsiri ya ubakaji, utakubaliana nami kuwa hata Joyce Mukya anabakwa na Mbowe. Wataalam wa masuala ya ubakaji wanatuambia kuwa hata mke na mume wa ndoa huwa wanabakana kama mmoja hajaridhia tendo hilo la ndoa. Huyu Joyce Mukya ukweli ni kuwa anabakwa kila wakutanapo kwa vile Mbowe amemtishia kuwa akimkataa atamfanyia mizengwe ili atimuliwe kwenye ubunge wa viti maalum. Hana namna bali ni kukubaliana na ubakaji wa Mbowe kwa vile ubunge anauhitaji. Kama Mbowe anabisha ajitokeze humu kukanusha

hayo mambo ya kufikirika unayatoa wap dada mbona akina dada wenzio sio wambea hvyo?? hivi mtu mzima kama Joyce ashindwe kulalamika kwamba anabakwa?? nna mashaka na umri wako kama unaendana na psychological maturity coz ukiongeacho akina logic hata kidogo ungefikiria kwann Mwiguru ayatamke hayo kwa gadhabu ye kama nani??

Inawezekana kabisa Mwigulu alikuwa anamtaka Joyce ndo maana kaumia kahic UCCM wake ndo umemfanya amkose badala ya kuongea mambo ya muhimu kwa ajili ya watu wa ilamba anaongea maisha ya watu kila mtu akifunuliwa pale bungeni nan atapona kwenye haya ya uzinzi kuanza tu nkukumbushe CAPTAIN KOMBA anayoyafanya unayajua?? au LULU bila kupata msala wa kanumba angepata kashfa gan na nan ndan ya vigogo wa CCM kaa tafakari usikalie ushabiki wa kike tu jaribu kutumia akili japo hata saa moja tu katika siku ukaandika vitu vya maana.
 
Kwa hiyo mmejifunza uzinzi kutoka kwa mandela? Mbona hamkujifunza kusamehe, kusahau na maridhiano.

Kiongozi anahusishwa na hili kutokana na viapo kama aliapa kutomsaliti mke wake mbele ya mungu vipi viapo kuhusu Kaisari.

Kubanduana ndio mambo ya chumbani Lissu lakini kumrudisha mtu ktk safari ya kikazi iliyogharimu pesa za walipa kodi ili ukamgonge na kuchapa nae raha sababu we kiongozi ndio kashfa ambayo hujajibu.
 
- Clinto alikuwa impeached na Congress, lakini akasamehewa na kupewa adhabu kali ikiwa ni pamoja na kupoteza leseni yake ya Sheria na Senate!!

Le Mutuz
Kwani baba yako na mama yako wa kambo walianzaje? wewe unafikiri walianza pale walivyoanza kujipambanua mbele za umma kuwa ni wapenzi? nyamaza wewe kubwa jinga
 
mkuu acha uwongo. clinton hakuwa impeached alikiri skandali hiyo kitu ambacho ni sharti la kutofanya impeachment. aliyefanyiwa impeachment alikuwa r. nixon
Usibishane na mimi kwenye siasa za Marekani. Nimezisoma sana.
 
LEADERSHIP ROLE MODELS

"Think global, but act local" is not just a phrase for sustainability; it also can be applied to how we behave as leaders. It turns out our most important role models are "local". They are the people with whom we interact and have contact with the most.

Dah! CDM from BAD to WORSE, Tundu Lissu anafikiri watz hawajasoma!Kiongozi ni lazima awe mfano role model.

CDM waache kukurupuka hakukuwa na sababu ya kwenda kwenye media kama sio kukanusha kuwa Mbowe sio mzinzi! Walichofanya ni ku-confirm kuwa ni Mzinzi!

Nadhani wazee wa CHADEMA hawafanyi kazi yao ipasavyo kuwashauri viongozi waache kukurupuka na mambo mfano: Sakata la Zitto lisingefikia lilipo kama wasingekurupuka na kumsimamisha uongozi ingewezekana kulimaliza ndani, Slaa kwenda KGM immediately baada ya kusimamishwa Zitto! Terrible decision. Hivi unaweza kumsimamisha Slaa halafu immediately ukaenda Karatu!?

Kwa hali ilivyo sasa ili CDM isonge mbele ni busara sana kwa viongozi wa juu kutogombea nafasi hizo, wagombee watu ambao ni Neutral. Pia hawa viongozi na wabunge wengine wabaki neutral na sio kuonesha wazi kuwa wapo upande upi.

wewe ni masalia na zito alishakuwa kidonda cha mguuni kilichovia usaha unaonuka. ilikuwa ni lazima kidonda kipasuliwe, usaha uminywe utoke nje hata kama unanukana na hata kama mkamuliwaji anapata maumivu. baada ya usaha uliooza na unaonuka(zito) kukamuliwa na kutoka nje, sasa mguu(CDM) UNAPONA KWA KASI YA AJABU. mbali ya michepuo mnayoipiga magamba ni kwamba Hatumtaki zito hata kwa dawa, akaloge mapanya hukooo kwao burundi.
 
hivi ndani ya JF kuna page nyingi tu. kuna jukwaa la siasa michezo, utani na mengineyo inakuwaje tunakuwa hatuelewi? Mambo ya pale tunayaleta hapa ya hapa tunayapeleka pale inamaana hatuelewi?

Kwanza napenda kumpongeza mwanzilishi wa JF, Katenga majukwaa safi sana ila nashanga kuna watu wanaingiza mada za mipasho kwenye jukwaa la siasa sielewi wanaelewa maana ya siasa au ndio kusoma pasipo kuelimika.

Fulani anadaiwa, Fulani kazaa nnje ya ndoa, fulani alisha wahi kuhongwa gari na fulani. Sielewi vizuri kwani siasa maanayake ni uongo na kupakaziana? Siamini kama ni hivyo, Wenzetu nchi nyingine wasingeendelea kupiti siasa kama ingekuwa siasa ni uongo na kupakaziana.

Ombi langu kwa mwazirishi wa JF awe anakagua kwanza kama mtu kaweka mada ya siasa anairuhusu kama ya mipasho na inayo mtaja mwanasiasa ipelekwe kwenye mipasho kama hakuna jukwaa la mipasho basi watengenezee, Sio kila mtu akituma mada ikimtaja mfano Mbowe, Mwigulu, Zitto, Dewiji na wengineo basi ni Siasa si kweli Mfano Zitto ni mmoja wa viongozi wa kamati pale TFF, Dewiji kwenye bodi ya wenyeviwanda yupo, Ombi langu mada zichambuliwe kwanza ndio zionekane ni aibu sana.

Msishangae kwanini nimetuma malalamiko kwenye Jukwaa la siasa, nataka wanajukwaa hili muone na mwazinilishi aone tunapoteza maana ya jukwaa la siasa, tunajadili zaidi mambo binafsi sio siasa.
na ndugu zangu kama tutalitumia vizuri hili jukwaa tutapata viongozi bora kabisa na kuendeleza nchi yetu
Aksanteni sana.
 
Muleta maada, nikukumbushe tu kuwa, unadharaulika sana na jamii ya watu waelewa, sababu watu hawahitaji upuuzi huu ulioleta hapa, wanahitaji hoja za kutatua kero zao, unataka kutuaminisha kuwa na mwigulu mnaakili moja, hizi ndio siasa mlizobakiwa nazo, poleni.
 
Ingelikuwa mambo binafsi kama huyo mwanamke asingelikuwa mbunge wa viti maalum ambaye uteuzi wake unategemea hao hao akina Mbowe.

Hapo kuna uwezekano kabisa wa kwamba kuna rushwa ya ngono.

Clinton alikuwa impeached.

Mandela aliacha mke na ndio akaoa mwingine.

Nakubaliana kabisa na Tundu Lissu.

Mambo binafsi ni mambo binafsi na hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa kuongoza.
 
Usibishane na mimi kwenye siasa za Marekani. Nimezisoma sana.

umezisoma ila hujazielewa Clinton alikuwa impeached kwa sababu yalitokea katika collidor za sehemu yake ya kazi. sasa kama tunawahukumu watu kwa mambo yao ya ndan rais kikwete anafaa kuwa kuongoza nchi??
 
Tunavyojua uzinzi ni sawa na ulevi mwingine tu. Pia ulevi huu wa uzinzi una gharama nyingi tu. Hizo fedha na muda mwingi anaoutumia kwenye uzinzi bila shaka unatokana na mchango mkubwa wa fedha zinazotokana kwa ufisadi au michango ya wana CHADEMA na wale wote wapenda mapinduzi.

Achana na uzinzi ili utimize wajibu wako kwa jamii. Inaonekana utakapokuwa rais hapo utabadilisha wanawake kama nguo.

inategemea. mbona makamba na mwinyi kila mmoja alibaka mwanafunzi mara moja tu na hawakurudia tena? na kapuya mbona hajarudia kubaka tena. haya mambo inategemea na hali halisi ya wakati husika.
 
umezisoma ila hujazielewa Clinton alikuwa impeached kwa sababu yalitokea katika collidor za sehemu yake ya kazi. sasa kama tunawahukumu watu kwa mambo yao ya ndan rais kikwete anafaa kuwa kuongoza nchi??
Obstruction of justice inahusianaje na corridors za white house? Hiyo ya kikwete inategemea na bunge na wananchi kwa ujumla. Apparently wengi wako kama wewe.
 
Kwa hiyo mmejifunza uzinzi kutoka kwa mandela? Mbona hamkujifunza kusamehe, kusahau na maridhiano.

Kiongozi anahusishwa na hili kutokana na viapo kama aliapa kutomsaliti mke wake mbele ya mungu vipi viapo kuhusu Kaisari.

Kubanduana ndio mambo ya chumbani Lissu lakini kumrudisha mtu ktk safari ya kikazi iliyogharimu pesa za walipa kodi ili ukamgonge na kuchapa nae raha sababu we kiongozi ndio kashfa ambayo hujajibu.

hivi unafkria kweli wewe?? mbunge wa vitu maalum alienda nje kikazi kufanya nn?? hebu tumia akil ndio maana tunataka kuwaondoa kabisaaaa wasiwepo bungeni. ungehoji kwanza hivi mbunge wa viti maalum anaenda nje kikazi kufanya nn??
 
Tehetehetehe. Anzisha uzi wa kwako kuhusu hizo kashfa. Hapa tunajadili kitendo cha chadema kukumbatia ubakaji wa Mbowe

hapana mkuu na la makamba na mwinyi na kapuya tuyachanganye mumo humo. hata ya mkulu pia. tupige zote kwa zote.
 
Mkuu, kama unavyojua kuna orodha ya wabunge wa viti maalum ambao CHADEMA imewaweka kwenye hatari ya kuwafukuza kutokana na kumuunga mkono Zitto. Joyce Mukya ni mkojawapo. Huyu Joyce si tu anampenda Zitto kisiasa, bali pia ni mpenzi wake. Mbowe analijua hilo. Na inaelezwa kuwa moja ya sababu ya Mbowe kuendeleza ubakaji kwa Joyce ni kutaka kumkomoa Zitto. Hivyo hivi vita kati ya mbowe na Zitto ni zaidi ya uenyekiti wa chadema. Inaelezwa pia kuwa wakati Joyce aliposhiba mimba ya ambiwe, Zitto Kabwe alimtorosha nchini Uingereza ambako aliishi mpaka kajifungua mtoto.

tukirudi kwenye hoja, ili kumlaghai Joyce asitimuliwe, Mbowe akatumia ulaghai wake kuwa hatamfukuza Joyce ikiwa atakubali kuendelea kulala naye hasa kwenye jumba lake la kifahari huko Dubai.mtena kamdanganya eti ndoa yake na Lilian Mtei ikisanbaratika, yeye ndo atamilikishwa majumba hayo ya Dubai. Pia Joyce Mukya amehadaiwa kuwa ikiwa Mbowe atakuwa Rais wa nchi, yeye Joyce ndo anastahili kuwa First Lady na si Lilian Mtei ambaye hana mvuto

JF bana! kila kitu kinamwagwa humu. Pole sana Lilian Mtei. huyu ndo Mbowe yuleyule uliyemkataa ila ulilazimika kuolewa naye kutokana na shinikizo la baba yako mzee Edwin Mtei
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom