kama raisi wsko alisema swala la uraisi ni binafsi iweje swala kugonoja lisiwe binafsi...
Mbulula wote mnaojadili mambo ya chumbani
Viongozi wa CHADEMA ni majanga tupu.
Kwa hiyo kumbe Mh. Mbowe ni mzinzi kwa maana nyingine, tuhuma hizi ni za kweli.
Sasa kama maswala ya Uzinzi ni private affairs. Vipi hili swala la kupewa millions pesa za Tanzania na wale wale kila mara alikuwa akipanda kwenye majukwaa alikuwa anawaita mafisadi.
Pesa za huyu kada wa CCM alizochukua nazo ni private affairs
View attachment 132573
Tunaomba tufahamu mipaka ya private affairs nchini
Kama ameweza kuijibu hoja ya uzinzi, kwa nini hakutaka kuijibu hoja ya "double agent" kwa maana kuwa, mchana ni mpiga vita mafisadi na usiku ni mpokea pesa za mafisadi
Inatuhusu wote sema umeamua kujitoa ufahamu tu - CDM inatumia ruzuku ambazo ni kodi zetu ktk kujiendesha hivyo ni lazima vongozi wake wawe wasafi mbele ya jamii.Hilo ni la yeye kuamua. Mimi hainihusu.
Wewe inakuhusu?
Inatuhusu wote sema umeamua kujitoa ufahamu tu - CDM inatumia ruzuku ambazo ni kodi zetu ktk kujiendesha hivyo ni lazima vongozi wake wawe wasafi mbele ya jamii.
Lakini ingekuwa ni mm au wewe ambao ni nobody kwenye uongozi wowote ingekuwa sio ishu...... Kumbuka hapa tunamzungumzia kiongozi wa chama kikuu cha upinzani hapa Tz!
Hv mbowe angekuwa kapuya angekuwa uraiani? Nawasilisha.
Ukishakua kiongozi wa umma huna cha mambo binafsi..