kamanda, ni mahaba tu dhidi ya mbowe yanakusumbua....ila kama mpenda mabadiliko nasema mbowe hafai tena amechafuka kwa tuhuma nyingi na wala sio hii peke yake.
chadema tunaviongozi wengi tu wenye uwezo mkubwa kuliko huyo mbowe, ni vema wapewe kijiti ktk uchaguzi wa ndani baadae mwaka huu.