Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Mkuu Ridhiwani umeeleweka vizuri sana. Aliyekuwa akikutuhumu kwa utajiri huko CHADEMA ni Dkt Slaa na yeye leo anatuhumiwa na CHADEMA wenzake kuwa ni tajiri wa mabilioni baada ya CCM kumuhonga pesa. Haya ndio maisha.

mbona hajawahi kumpeleka dr slaa mahakamani kwa kusema uongo kama kweli ni msafi? ni mwendawazimu pekee anayeweza kukubali utetezi wa ridhi moko.
 
Ndugu zangu mnaopenda kuropoka.Ridhwani amewa 'dare' kama kuna yoyote mwenye ushahidi wowote ule autoe. 'Vinginevyo ni wivu na chuki zetu tu' [hayo ni maneno yangu]
 
Tufike mahala tuache kuwa wajinga kuisisha familia ya rais mstaafu ni uonevu na majungu yasiyo na tija kama ni fitina za kisiasa ndio zinaleta haya yote basi tukae tukijua majungu hayajengi

Umeanza andiko lako kama mtu anayeamini kuwa wasomaji ni wajinga kama ulivyo wewe. Yanayosemwa kama huyajui subiri wanaoyajua wataleta ushahidi. Na sio lazima hapa JF. Kama mmetoa tamko ku-test zali, basi ngojeni wenye nchi wawaonyeshe jinsi wanavyojua madudu yenu
 
Ati kuna mtu kaniambia nataka kumpora kampuni take nikamwambia Mimi in nani; mwisho was story
 
Tufike mahala tuache kuwa wajinga kuisisha familia ya rais mstaafu ni uonevu na majungu yasiyo na tija kama ni fitina za kisiasa ndio zinaleta haya yote basi tukae tukijua majungu hayajengi

Kwa inavyoonekana wewe ni mtumwa wa fikra,na ni mtu mwoga kupindukia kwani raisi mstaafu ndo kitu gani? Na si ni binadamu km wewe? Inapooneka alikusea
 
Tufike mahala tuache kuwa wajinga kuisisha familia ya rais mstaafu ni uonevu na majungu yasiyo na tija kama ni fitina za kisiasa ndio zinaleta haya yote basi tukae tukijua majungu hayajengi

Kwa inavyoonekana wewe ni mtumwa wa fikra,na ni mtu mwoga kupindukia kwani raisi mstaafu ndo kitu gani? Na si ni binadamu km wewe? Inapooneka alikosea watu wakae kimya tu?
 
Hahaha lete ushahid unao onyesha utajiri wake unafikia Trilion 5 tuzitaifishe

wewe unayebisha ndiye ulete ushahidi wa kuonyesha kwamc utajiri wake ni chini ya bilion 5, sio unabisha bila ushahidi. mpuuzi mkubwa wewe!
 
wewe unayebisha ndiye ulete ushahidi wa kuonyesha kwamc utajiri wake ni chini ya bilion 5, sio unabisha bila ushahidi. mpuuzi mkubwa wewe!

kawaida uliyetuhumu ndiye mwenyewajibu wa kuleta ushahidi.
Ila twafahamu hakuna nyumbu awezaye kuleta ushahidi kwakuwa akili zao ni za kukariri...
 
Majibu Ya Riziwani Na Tuhuma Za Kufungwa Kamba Za Viatu Yalishatapakaa Siku Nyingi Sana, Na Hakujibu. Ajabu Anayelaumiwa Zamu Hii Ni Makonda Lakini Anayejitetea Ni Mtoto Wa Mfalme, Kwanini Basi Makonda Hajajibu Tuhuma Hizi Dhidi Yake Instead? Pilipili Ya Shamba...,
 
Isije ikawa kama mambo ya Lowassa mnathumu bila ushahidi.... "who alleges must Prove"... mahakama zipo kila kitu kwanini mlalmike JF tuu

Maana matajiri wajanja walikuwa wanasingizia biashara ni za ridhwani au wapo share ilo wPate safety kwa kugundua uzembe na uwoga wa maofisa wa serikali..
 
Majibu Ya Riziwani Na Tuhuma Za Kufungwa Kamba Za Viatu Yalishatapakaa Siku Nyingi Sana, Na Hakujibu. Ajabu Anayelaumiwa Zamu Hii Ni Makonda Lakini Anayejitetea Ni Mtoto Wa Mfalme, Kwanini Basi Makonda Hajajibu Tuhuma Hizi Dhidi Yake Instead? Pilipili Ya Shamba...,
Umesahau wakwele walivyo?
 
Back
Top Bottom