Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Jamani hivi hakuna wanazuoni walioyasoma haya mambo..kama taaluma wamwage vitu hapa? Barabaraya18 na mimi ananichanganya..anataka wengine waback up statement zao na aya za ushahidi wakati yeye hajatupa aya zinazosupport hoja zake za talaka moja tuu......mkuu tupe vitu...


INAELEKEA na wewe unakuwa kama MWANAKIJI, tena MKJJ anaafadhali kwani anaweza kukuletea link au post ambayo huko nyuma ulieza kitu

Its clear kuwa wewe husomi maelezo yangu kuhusu hizi hoja na hhujataka kujua kwa nini huu mjadala kwa nini umefikia hapa ulipofikia, nakuomba uanze kusoma post zangu tangu jana utaona nilitoa aya ya kusupport maelezo yangu

Kama una la zaidi sema lakini ukweli usiopingika kuwa WAGALA waliuteka huo msiba
 
Na katika mas-ala haya Allah ametuambia: "T'alaka ni mara mbili" (2: 229).

Yaani mwisho wa talaka ni mbili ukitoa ya tatu huruhusiwi tena kumrudia huyo mwanamke.

Ukitoa ya kwanza na yapili unaweza kumrudia kama nilivyoeleza hapo juu (yaani kabla ya eda kumalizika muda wake)
 
Barabaraya18,

Mimi nakusikiliza kwa makini sana kwa vile unaifundisha mengi nilyokuwa siyaelewi kuhusu talaka za kiisalamu. Nilipozungumzia ukatoliki, nilikuwa naongezea pale Mkandara alizungumzia kuhusu taratibu za dini nyinine kwenye talaka.

je umesoma ile link aliyoweka mtu mwitu pale juu. Ningeomba tafsiri yako kuhusu hili hapa chini.

ayah ya 229 ya Surat Al-Baqarah, Mwenyeezi Mungu Anasema: "Talaka (unazoweza kumrejea mwanamke) ni (zile zilizotolewa) mara mbili (za kwanza). Kisha ni kumweka kwa wema au kumwacha kwa ihsani (Wala usiweze kumrejea tena mpaka aolewe na mume mwengine maadam ametimiza mara tatu katika kumwacha ukimrejea). Wala si halali kwenu kuchukua chochote mlichowapa (wake zenu), isipokuwa (wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kusimamisha mipaka ya Mwenyeezi Mungu, hapo itakuwa hapana dhambi kwao (mwanamme wala mwanamke katika) kupokea (au kutoa) ajikomboleacho mwanamke. Hii ndio mipaka ya Mwenyeezi Mungu; basi msiiruke. Na watakaoivuka mipaka ya Mwenyeezi Mungu, hao ndio madhalimu (wa nafsi zao)".
 
Talaka Ya Mara Tatu
Talaka - Eda

SWALI:

Swali langu kama mwanaume ameandika talaqa kwenye karatasi akasema namuacha mke wangu talaqa tatu je zinahesabiwa talaqa tatu au moja?







JIBU:

Shukrani sana kwa dada yetu aliyeuliza swali hili.

Na hakika hili ni tatizo kubwa sana kwa jamii zetu za Waislamu katika nchi tofauti. Hii yote inarudi kwetu sisi kwa kupuuza masomo ya Dini yetu tukufu na matatizo haya yataendelea mpaka tutakapoamua kurudi kwa Dini yetu katika kila mambo yetu.

Talaka ya aina hii katika sheria inaitwa Twalaqul Bidi‘iy (Talaka ya Kuzuliwa) kwani huwa imekwenda kinyume na sheria tukufu ya Kiislamu. Na hii ni ima kumpatia talaka mke wako akiwa katika damu ya hedhi, nifasi au talaka tatu kwa mara moja au sehemu moja.

Wanazuoni wa Kiislamu wametofautiana kama talaka tatu mara moja zinahesabiwa kuwa ni tatu au ni moja. Hii ni kwa sababu kila kundi limetoa ushahidi kwa rai zao. Lakini kauli yenye nguvu zaidi ni kuwa mume anayetoa talaka tatu kwa mara moja inahesabiwa kuwa ni talaka moja lakini atakuwa amefanya makosa na madhambi katika tendo lake hilo na inabidi aombe msamaha.

Wakati mmoja Mtume (s.a.w.) alipashwa habari ya kuwa kuna mtu aliyetowa talaka tatu kwa mara moja. Mtume (s.a.w.) alikasirika sana na kishaa akasema: "Mnachezea Kitabu cha Allah, nami bado nipo baina yenu" (An-Nasai, na akasema Ibn Kathiir kuwa Isnadi yake ni Nzuri).

Na alikuwa ‘Umar (r.a.) akiletewa mtu ambaye ametoa talaka tatu kwa mara moja akimpiga viboko (Ibn Abi Shaybah).

Na katika mas-ala haya Allah ametuambia: "T'alaka ni mara mbili" (2: 229).

Hii inamaanisha moja baada ya nyingine na wala siyo kuzitoa kwa wakati mmoja. Sayyid Sabiq katika Fiqhis Sunnah anasema kuwa hii ndiyo iliyokuwa njia iliyofuatwa wakati wa Mtume (s.a.w.), Abubakr, ‘Umar na Makhalifa wengine (r.a.) kabla kubadilishwa.

Na hakika inaonyeshwa wazi wazi wakati wa Sheikh Ibn Taymiyah alipotoa rai hii alipingwa sana na wanazuoni wa wakati wake lakini wanazuoni wa sasa wameirudia kauli hiyo ambayo ndiyo yenye nguvu.

Na Allah Anajua zaidi.
 
Samahani mkuu barabaraya18.....Tafadhali kama nimekukwaza..halikuwa lengo langu.....Perhaps its clear kwamba sisomi..(si unajua tena uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo?)...But Iam glad wengi hatusomi including Mkjj...So siko pekee yangu.....Again samahani bwana!
 
Samahani mkuu barabaraya18.....Tafadhali kama nimekukwaza..halikuwa lengo langu.....Perhaps its clear kwamba sisomi..(si unajua tena uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo?)...But Iam glad wengi hatusomi including Mkjj...So siko pekee yangu.....Again samahani bwana!


shekhe usitie shaka na naomba radhi kwa kukutupia maneno makali kiasi hicho haswa ukizingatia kuwa umenizidi umri

Naomba radhi sheikh
 
Amina alishamaliza muda wa hiyo SEPARATION na ndio maana TALAKA YAKE iko valid

Mwanakijiji, ajabu ulivyokuwa na USHABIKI wa amina basi hata DHEHEBU lake ulikuwa hujui vipi?

SASA UMEONA KWA NINI MWANZO NILIKUWAMBIA katika hii bora uwe msomaji NA MUULIZA maswali ambayo siyo ya kijinga assuming kuwa majibu unayo sema unataka kuchea watu akili humu

mbona unataka kuleta... nijue dhehebu lake ili kiwe nini.. kama huna jibu unasema huna jibu..siyo unashambulia watu kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu. Kama ningejua dhehebu lake ningeuliza. Now, kama hujui sema sijui, usiseme kana kwamba unajua wakati hujui na wewe.
 
[2:229]

Divorce may be retracted twice. The divorced woman shall be allowed to live in the same home amicably, or leave it amicably. It is not lawful for the husband to take back anything he had given her. However, the couple may fear that they may transgress GOD's law. If there is fear that they may transgress GOD's law, they commit no error if the wife willingly gives back whatever she chooses. These are GOD's laws; do not transgress them. Those who transgress GOD's laws are the unjust.


[2:232]

If you divorce the women, once they fulfill their interim, do not prevent them from remarrying their husbands, if they reconcile amicably. This shall be heeded by those among you who believe in GOD and the Last Day. This is purer for you, and more righteous. GOD knows, while you do not know.


[2:230]

If he divorces her (for the third time), it is unlawful for him to remarry her, unless she marries another man, then he divorces her. The first husband can then remarry her, so long as they observe GOD's laws. These are GOD's laws; He explains them for people who know.
 
source :http://www.domini.org/lam/divorcepractice.html


. The Law and Practice of Divorce in Islam.

We have already seen, in an earlier chapter in this book that Abu Dawud recorded a tradition to the effect that of all the things made lawful to men by Allah, divorce displeased him most.

Divorce, though allowed, is considered blamable (mubah) and, if possible, to be avoided. (Klein, The Religion of Islam , p. 191).

The Qur'an has two sections which deal exclusively with the subject of divorce. Although the book does make divorce openly permissible, it hedges in its sanction of the practice with many safeguards. In the Suratul-Talaq (the Arabic word for divorce being talaq), it is said:

O Prophet! When ye do divorce women, divorce them at their prescribed periods, and count (accurately) their prescribed periods: and fear God your Lord: and turn them not out of their houses, nor shall they (themselves) leave, except in case they are guilty of some open lewdness, those are limits set by God: and any who transgresses the limits of God, does verily wrong his (own) soul: Thou knowest not if perchance God will bring about thereafter some new situation. Surah 65.1

Divorce is thus not primarily sinful in Islam as it is in Christianity (Matthew 19. 8-9), yet it has considerable restrictions. There has to be an 'iddah, a "prescribed period" of three monthly courses (Surah 2.228), before the divorce becomes final. The husband, after declaring to his wife on three occasions that he intends to divorce her (anti talaq - "you are dismissed"), must wait three months thereafter before he can finally separate from her, and the wife likewise must remain in the home during this period to see whether she is pregnant and to see whether a reconciliation can be made.

Divorce is a process beginning with the cessation of marital relations and ending with the actual divorce when the 'idda has run its course. This is to be carefully reckoned and divorce is not actually to take place until it has expired. Meanwhile no overt steps are to be taken. The woman is not to leave her husband's house, nor is he to send her away unless in the interval she has been guilty of some public scandal. Thus outwardly the spouses are to continue living together as before, in the hope that before the end of the waiting period some reconciliation may take place, or as the Qur'an expresses it, Allah may cause something to happen. (Bell, "Muhammad and Divorce in the Qur'an , The Muslim World, Vol. 29, p. 62).

The Qur'an also urges husbands to be very considerate when divorcing their wives. They are to set them free on equitable terms (Surah 2.231), are not to take them back purely to spite or injure them, and are not to prevent them from being married to a former husband (Surah 2.232). Despite these detailed exhortations, the Qur'an does not stipulate that there need be any specific grounds for a divorce. There is no suggestion that desertion or adultery must first take place, or that the husband must have some valid cause before divorcing his wife. The Qur'an's silence on this point has led some scholars to conclude that the husband may divorce his wife at will.

Since no justification for divorcing his wife is demanded from the husband by the Koran, he is permitted to divorce her at his own will or caprice. But no such privilege is accorded to the wife, an inequality which has had the consequence of gravely lowering the status of women in Islam. (Levy, The Social Structure of Islam, p. 121).

Muslim scholars are quick to rise to such challenges and one well-known writer states:

The impression that a Muslim husband may put away his wife at a mere caprice, is a grave distortion of the Islamic institution of divorce. (Ali, The Religion of Islam, p. 551).

The writer goes on to give a list of occasions where the wife has the right to divorce her husband, namely, where her husband is completely missing and cannot be found, by returning her dowry, and where she is a convert to Islam with a non-Muslim husband. An objective study of the Qur'anic teaching on divorce yields the impression that, while no particular ground for divorce is necessary, it is not to be taken lightly and to be avoided wherever possible. Nevertheless the general rule in Islam is that divorce is the husband's right. Hanafi law is particularly dogmatic at this point:

And in this matter of dissolution of marriage the accepted Hanafi rules are more rigid and retrogressive than those of any other school, for they virtually deny the wife any right of divorce whatever, judicial or otherwise, while they not only leave the power of the husband unilaterally to repudiate his wife completely unfettered, as do all the Sunni schools, but go further than any other in regarding as valid, binding and even final various expressions of divorce never really intended to have that effect. Thus the wife can never divorce her husband or divorce herself from him unless he has expressly given her this right (tafwid al- talaq), while even the offer to redeem herself for a financial consideration is absolutely dependent on his consent: nor has she any right to the judicial dissolution of her marriage, however long she has been deserted or severely she has been maltreated, or even if she finds herself unwittingly married to one afflicted with some loathsome and infectious disease. (Anderson, "Recent Developments in Shari 'a Law V", The Muslim World , Vol. 41, p. 271).

Certainly the one section in the Qur'an giving the standard teaching on divorce (Surah 2. 228-232) speaks only of husbands divorcing their wives and addresses its exhortations to men only.

The Qur'an has one law regarding divorce that is truly hard to commend or understand. It is found in these words: So if a husband divorces his wife (irrevocably), he cannot, after that, re-marry her until after she has married another husband and he has divorced her. Surah 2.230

In the previous verse it is said that "divorce is only permissible twice" (Surah 2.229) and Islamic jurists have concluded that a man is entitled to divorce his wife twice and duly remarry her but, after divorcing her a third time, may not remarry her until she has married another man and has become divorced from him. The object of this teaching is clearly to inhibit men from divorcing their wives frivolously or abusing divorce as a means of causing their wives constant insecurity. In the end, however, it seems to fail in its purpose by obliging the wife to enter into a second union before the first may be resumed. The Hadith, true to the letter of the law, make this teaching more absurd than ever:

Narrated Aisha: A man divorced his wife thrice (by expressing his decision to divorce her thrice), then she married another man who also divorced her. The Prophet was asked if she could legally marry the first husband (or not). The Prophet replied, "No, she cannot marry the first husband unless the second husband consummates his marriage with her, just as the first husband had done". (Sahih al- Bukhari, Vol. 7, p. 136).

In passing it is interesting to note that this tradition is interpreted to mean, not that three separate divorces must first take place, but that on the required threefold declaration of divorce the first time, the husband may not take his wife back before she marries again. A Western scholar interprets this subject in the same way: "An absolute divorce, or Talaq i Mutlaq, consists of the mere repetition of the words 'Thou art divorced' three times. A woman so divorced cannot be restored to her husband until she has been married to another and again divorced" (Hughes, Notes on Muhammadanism , p. 122). Either way one cannot help being taken aback by the rigid stipulation that the second marriage must first be consummated. Here indeed the letter of the law has made no allowances for the reflections, misgivings or regrets of the parties ant appears to force on the woman what Jesus regarded adultery (Matthew 5.32), even though she is willing to return to her true husband without violating the intimate relationship she has enjoyed with him. The same tradition in the Sahih al-Bukhari is also found in the other great work of Hadith and here it is said that Muhammad's answer was "No, until the second one has tasted her sweetness as the first one had tastes" (Sahih Muslim, Vol. 2, p. 730), even though the second husband had already divorced her. This seems to be a gross injustice calculated to punish the first husband for being double-minded once too often about his relationship

In some Muslim communities, especially in North Africa divorce is quite common and a normal event in society. Elsewhere, particularly where monogamy has become the norm, it is a rare occurrence.
 
ama kweli DINI imeingiliwa

Kesho tutakuja kuswalishwa na Mayahudi

Barabaraya18,

Mimi siyo myahudi na wala usihofu kuwa nitakuja swalisha msiktini; ninahitaji kujua jambo hili kwa vile linaigusa jamii yetu. Je umesemaje kuhusu ile ayah ya 229 ya Surat Al-Baqarah niyokopi pale nyuma? Aya hiyo imerudiwa na jembajemba hapo juu na ni mojawapo ya zile aya tatu ziliyojadiliwa katika article ya Mtumwitu
 
kwa sasa kichwa kinaniuma baada ya kusoma huo mzinga wa POST wa KICHUGUU lakini inshaalah ntarudi baadein naona Laasir itanipita
 
TAADHARI:Walioyo shiriki na kuhusika na kifo cha MUH AMINA CHIFUPA wajiandaye kumfuata mbele ya haki.. akuna wazazi mwingine atakao pata uchungu kama walivyo pata wazazi wa AMINA CHUFUPA mungu amlaze mahali pema peponi!!
 
mbona unataka kuleta... nijue dhehebu lake ili kiwe nini.. kama huna jibu unasema huna jibu..siyo unashambulia watu kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu. Kama ningejua dhehebu lake ningeuliza. Now, kama hujui sema sijui, usiseme kana kwamba unajua wakati hujui na wewe.

UKISOMA POST ZAKO JA JANA USIKU MASHAMBULIZI ULIYAANZA MWENYEWE NA NIKAKUULIZA HOW FAR ARE YOU WILLING TO GO, NAONA USHAANZA KUWA SENSITIVE SASA UKIGUSWA

IWEJE UENDESHE KAMPENI ZA KUMTETEA MAREHEMU BILA KUJUA ALIKUWA NI DHEHEBU GANI? THATS A VERY SMALL PIECE OF INFORMATION AMBAYO ULIIMISS NA HII INAPROVE KUWA HAUKO MAKINI KATIKA KUFANYA RESEARCH ZAKO AU HUYO RESEARCH ASSISTANT WAKO NI OVYO
 
source : http://en.allexperts.com/q/Islam-947/divorce-islam.htm


Question
i was put on /in my waiting p there months and now its over and my ex-husband is telling me that i can marry him without marry a other husband pl help me understand the truth about this pl

Answer
Asalamu aleykum

It depends on whether he has divorced you before.

The first and second time a man divorces his wife, he can take her back without remarriage during the waiting period. If the waiting period has expired, they are fully divorced, but he can remarry her. This requires a new marriage contract, mehr, etc.

The third time a man divorces his wife, the divorce is final. He cannot take her back during the waiting period or after it.

The only way they could remarry is if she marries someone else and later that marriage ends. This must be a real, valid, marriage intended to be for life. Then if that marriage to someone else ends he could remarry her.

I hope this has clarified the rules for you. Please write again if you have any more questions.

Please pray for me and my family in this Ramadan.

May Allah bless, forgive, and guide us all.

Hayat Anne Collins Osman

Please visit my little website.

http://www.geocities.com/hayatanneosman/American-Muslim.html

My mailing list. All are welcome.

http://groups.yahoo.com/group/IslamIstheTruth/

Web Pages on Divorce

http://www.jamaat.org/qa/talaq.html

www.islamonline.net/livefatwa/ english/Browse.asp?hGuestID=yL86OZ




kwa hapa tutakuwa tumejitahidi kuonesha kuwa talaka ziko tatu kama wengi walivyoeleza hapo juu ya kwanza na ya pili ikiwa eda haijesha waweza kumrejea ama ya tatu ndio bai bai hadi aolewe tena.

nasaha kwa ndugu yangu bara bara ya 18 tuwe na hekima katika kuelimishana na sio busara kukejeliana au kubebeduana awe muislam au mkristo.

hekima ndio kitu muhimu na hekima ni kuweka kitu pahala pake.
ahsante na nnaomba kuwasilisha
 
SisiWabongo jamani kuendelea kwetu kutachukua muda saaaana
kwani hapa mada nini haswa ?hayo mambo ya madhebu, dinigani, ugalatia yametokea wapi?hayo si ya sehemu yake katika hii jf?
tunashabikia mambo ambayo hayana msingi kwa leo huku wajanja wanaiba fedha za uma au hamjui kama kifo cha huyo dada pia kuna watu wananufaika?
acheni hizo washikaji amina amesha kufa amesha zikwa kwahiyo tuangalieni mbele,
swali kwanini vifo vya lugalo vinakuwa na walakini?dr omar pia
 
nnashukuru maalim wangu, wewe na kichuguu ndio walimu wangu mnaonielemisha hapa jf

sasa tuendelee hili lilikuja katikati kwa hiyo tumejaribu kuliweka sawa ili tuendelee na isssue mkuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom