Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,518
- 8,967
Hata jeshini ukiwa na kosa la jinai unafukuzwa au kusimamishwa kazi jeshini ili uhukumiwe mahakama za kiraia.Ivi huwa hawana mahakama zao kama ilivyo kwa JWTZ?
Hata jeshini ukiwa na kosa la jinai unafukuzwa au kusimamishwa kazi jeshini ili uhukumiwe mahakama za kiraia.Ivi huwa hawana mahakama zao kama ilivyo kwa JWTZ?
Polis wa bongo ni vichwa vigumu, wakati nipo taasis kubwa ya ulinzi na usalama nchini wakati huo tulikuwa tukionywa sana kujipendekeza kwa wanasiasaInspector General mstaafu wa Kenya Police Service Joseph Boinet, Aliwahi kuwambia Polisi kuwa kwa sasa Mazingira ya Ku operate yamebadilika sana ivo Polisi nao wabadilike katika individual level, Bila kufanya Ivo Watashindwa kufanya Kazi Comfortable kabisa ule Upolisi wa zamani kwa zama hizi za digital sio kabisa
Juzi Kwenye maandamano ya kupinga Mauaji ya Albert Ojwang Kuna Polisi walifyatua risasi na Kumjeruhi Vibaya mno Muuza Face Mask za maandamano iyo kitu imeenda Viral sana na Jeshi la Polisi tayari limewakamata hao Polisi watatu waliokuwa wamefanya iyo Kitu na tayari wameshakuwa aligned kwenye Court.
Hii tafsiri yake ni nini tunaelewa Kwenye Majeshi kumaintain Order ni Muhimu sana ila nawashauri Polisi wasivuke Utu, Huwezi Kumtolea mtu bastola au Kutaka Kudhuru Civilians ambae yupo unarmed kabisa.
Kuna jamaa alikuwa recorded akipiga watu Virungu nje ya Kisutu mahakamani wiki kadhaa kutawanya watu ambao hawakuonesha Threat kabisa na walikuwa willingly kutawanyika yule jamaa ana miwani na alipiga piga watu virungu pale. Footage yake ipo na it's matter of time, Justice will face him inaweza kuchelewa ila he will pay for what he did to innocent civilians
Polisi bongo mjifunze sana Kuwa kuna kesho hao wanakupa order likivurugika hakuna atakaesimama na wewe utatolewa kafara tu, Leo Mkuu wa Kituo cha Polisi nairobi anamkana DIG Lagat kuhusu issue ya Ojwag kufikia Kituoni apo
Wachina alikuwa akiwatishia kuwabambikia kodi anawakamata anawasweka ndani siku moja mbili akiwaachia wanampelekea mamilion amewatesa wengi
Hapa hapa dunianiKarma is really beach
Lukos naye ameingia mfumoni?Chris Lukosi endeleeni
Kwa nini asingenyongwa kbs kenge huyo? Nilidhani ni miongoni mwa wale wawili waliohukumiwa kitanzi!Mkuu sijui nisemeje ila hakuna uuaji mzuri wacha aende jela huyo mnyama ambae afahi kuishi na binadamu yule dogo walichomfanyia hata hiyo hukumu ni ndogo.
Karma imempa haki yake.View attachment 3380802
Ilianza hivi
View attachment 3380803
Ikaja hapa
View attachment 3380806
End .
Lesson kila ubaya utalipwa
Yupo kwenye hukumu ya kunyongwa mkuu..Kwa nini asingenyongwa kbs kenge huyo? Nilidhani ni miongoni mwa wale wawili waliohukumiwa kitanzi!
Huko huwa wanapelekwa wale walioikosea Serikali.Ivi huwa hawana mahakama zao kama ilivyo kwa JWTZ?
Haya hawayaelewi kabisa Mkuu, Katika taasisi ambazo zinapaswa ziwe mbali na wanasiasa ni Hizi za Ulinzi lakini ilo hawalioni kabisa.Polis wa bongo ni vichwa vigumu, wakati nipo taasis kubwa ya ulinzi na usalama nchini wakati huo tulikuwa tukionywa sana kujipendekeza kwa wanasiasa
Mwanasiasa atakutuma ufanye jambo fulani, likiharibika anakukana kesi unabeba wewe kama wewe
Na mahakaman cheo chako kinawekwa pembeni, unashitakiwa wewe
Japo sina uhakika kama ni ni mimi, ila mimi ni mmoja wa wale tulioitambulisha karma humu jf, The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!Pascal Mayalla endeleeni kuwasifu hao wauaji but karma IPO kazini
Huyo jaji alichofanya ni kusoma.hukumu tu ila kesi ilisikilizwa na jaji Edwin kakolakiHuyu Jaji yuko vizuri sana, na ndiye mwenye kesi ya chadema kugombea mali
Acha uongoHuyo jaji alichofanya ni kusoma.hukumu tu ila kesi ilisikilizwa na jaji Edwin kakolaki
Unamuuliza nani? Mimi sio Dada labda Dada yako wa Namtumbo.Watuhumiwa wa ubakaji wa huyo Dada wamefanyaje?
Kweli usilolijua ni usiku wa giza,usingeforce kutumia lugha ya watu usingedhalilika hivi hiyo really Beach iko nchi ganiKarma is really beach
Sawa mkuu nifundishe basKweli usilolijua ni usiku wa giza,usingeforce kutumia lugha ya watu usingedhalilika hivi
Sawa bitch na Beach ni vitu viwili tofauti ni hayo tu kwenye karma inatumika bitch na sio Beach,Beach ni fukwe kama coco BeachSawa mkuu nifundishe bas
Mwigulu Nchemba aliwahi kukanusha kwamba Jeshi la Polisi halina mwajiliwa mwenye juna hilo wala huyo mtu aliye pichani siyo Polisi.View attachment 3380802
Ilianza hivi
View attachment 3380803
Ikaja hapa
View attachment 3380806
End .
Lesson kila ubaya utalipwa
Typing error mkuu keyboard zetuSawa bitch na Beach ni vitu viwili tofauti ni hayo tu kwenye karma inatumika bitch na sio Beach,Beach ni fukwe kama coco Beach