Karma imelipa tayari.

Karma imelipa tayari.

Huku itekelezwe haraka akakutane na yule aliyemtuma kumnyyoshea pisto kichwa kabeji
 
Huyu jamaa amemuua kikatili sana yule dogo.
Yani mtu anadai pesa zake halafu anaishia kuuwawa kikatili namna ile?Ningekua ndio Rais wa hii nchi watu kama hawa nasaini mara moja tu ili hukumu zao zitekelezwe chap.
Hivi Kisa kilikuwaje
 
Chief inaonekana unapenda ligi kweny vitu vidogo ,mm nkiona sentence najua huyu mtu alipaswa aiweke hivi
We jamaa bana nakufananisha na mwamba ambaye yuko utupu anashauriwa na watu achutame lakini anang'ang'ania kusimama wima,haya endelea kusimama wima aibu ya utupu wako iendelee kuonekana
 
We jamaa bana nakufananisha na mwamba ambaye yuko utupu anashauriwa na watu achutame lakini anang'ang'ania kusimama wima,haya endelea kusimama wima aibu ya utupu wako iendelee kuonekana
Neno beach ndo limeleta haya yote chief
 
Hawana ila hata JWTZ mahakama zao zina utaratibu wake maalum ila zinafanya kasi zaidi hasa wakati wa Vita.Wakati wa amani hazitumiki sana.Mkosaji anaweza hukumiwa mahakama za kiraia
Sasa mahakama za kijeshi ushangae hakuna wakili wala hakuna kujitetea huwa unasomewa shitaka na adhabu.
Mahakama za kijeshi uzuri wake unashitakiwa kwa kosa ambalo liko wazi umetenda.Sio huku uraiani dereva kaua kwa uzembe kibaya zaidi hata leseni hana lakini utasikia uchunguzi unaendelea
Acha ushamba, Kila taasisi ya kijeshi Ina mahakama yake ya ndani.

JWTZ- court Martial
Polisi- Defaulter Procedure.

Hizi Zinatry makosa ya kinidhamu, inapotokea makosa yanaangukia katika jinai utaratibu ni kuwa mkosaji atakuwa tried kwenye mahakama ya ndani then anapelekwa mahakama ya kiraia kuwajibishwa, awe polisi au askari wa Jeshi la wananchi.

Rejea ishu ya kufirw@ ya Cpl Rama kule Unguja, alikuwa tried mahakama ya ndani ya polisi na kupatikana na hatia akafukuzwa kazi, katika mahakama ya kiraia alishinda kesi lakini hakurudishwa kazini kwa sababu tayari mahakama ya ndani ya polisi ilishamkuta na hatia, so usiseme hakuna tribunals kwenye hizi taasisi popoma wewe
 
Hawajui kitu hao ni serkali inajaribu kujisafisha. Hamna kitu hapo huoni watuhumiwa wa Ubakaji wa yule Dada? Labda sio Tanzania ninayoijua.
Huna akili ..ebu tuonyeshe habari inayosema watuhumiwa wa ubakaji waliachiwa bibie??
 
Kule Bangladesh wakishaanza kuunganisha matukuo hivi, basi wakuu wakiona wanamhurumia yule mtu wanaamua kumtoa kwa hatinya dharula bila wananchi wa kule Bangladeshi kujua chochote.

Rafiki yangu Kassim alinisimulia.
 
Acha ushamba, Kila taasisi ya kijeshi Ina mahakama yake ya ndani.

JWTZ- court Martial
Polisi- Defaulter Procedure.

Hizi Zinatry makosa ya kinidhamu, inapotokea makosa yanaangukia katika jinai utaratibu ni kuwa mkosaji atakuwa tried kwenye mahakama ya ndani then anapelekwa mahakama ya kiraia kuwajibishwa, awe polisi au askari wa Jeshi la wananchi.

Rejea ishu ya kufirw@ ya Cpl Rama kule Unguja, alikuwa tried mahakama ya ndani ya polisi na kupatikana na hatia akafukuzwa kazi, katika mahakama ya kiraia alishinda kesi lakini hakurudishwa kazini kwa sababu tayari mahakama ya ndani ya polisi ilishamkuta na hatia, so usiseme hakuna tribunals kwenye hizi taasisi popoma wewe
Kuna ubaya gani kunielewesha bila kunitukana unatukana usiyemjua kukosa ajira mbaya sana mimi umri wangu ni mkubwa kuliko baba yako na baba yako namfahamu na alikuwa mwanafunzi wangu secondary na darasani
Pamoja na kuficha jina lako lakini naona kila kitu usifikiri JF huonekani.
Kwa avatar yako na tusi ulilonitukana unaonekana bado unanuka maziwa.
Ndio maana hakuna darasa duniani linafundisha hekima au busara
 
Back
Top Bottom