Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,468
- 7,733
- Thread starter
- #21
Yes ndo pia kamfumga huyo muuaji wa MagufuliHuyu Jaji yuko vizuri sana, na ndiye mwenye kesi ya chadema kugombea mali
Yes ndo pia kamfumga huyo muuaji wa MagufuliHuyu Jaji yuko vizuri sana, na ndiye mwenye kesi ya chadema kugombea mali
Sasa Chris lukosi alimsifu muuaji Gani tena jamaniChris Lukosi endeleeni
Alipewa mda atubu isingefanya KAZI.Imechukua miaka 8 karma kufanya Kazi
Nasikia alikua muuwaji mzuri tu. Ameua wa Tanzania wengiHuyu jamaa tayari anaenda kufia gerezani kwa ujinga wake na tamaa
Hawajui kitu hao ni serkali inajaribu kujisafisha. Hamna kitu hapo huoni watuhumiwa wa Ubakaji wa yule Dada? Labda sio Tanzania ninayoijua.utashangaa sana rufaa itawaachia
bongo Giza sana
Mkuu sijui nisemeje ila hakuna uuaji mzuri wacha aende jela huyo mnyama ambae afahi kuishi na binadamu yule dogo walichomfanyia hata hiyo hukumu ni ndogo.Nasikia alikua muuwaji mzuri tu. Ameua wa Tanzania wengi.
Na CCM watalipa haya wanayoyatendaView attachment 3380802
Ilianza hivi
View attachment 3380803
Ikaja hapa
View attachment 3380806
End .
Lesson kila ubaya utalipwa
Hawawezi kuwa nayo kwa sababu polisi sio chombo kinachojiamulia mambo yake hivyo lolote wanalofanya liko chini ya sheria na ni chombo cha dola(executive).Ivi huwa hawana mahakama zao kama ilivyo kwa JWTZ?
Huwa haichelewi wala haiwahi.Imechukua miaka 8 karma kufanya Kazi
Na Uteuzi wa leo kaambulia patupu....Pole sana kwake.Mayala kana njaa ya uteuzi ni kajinga sana