Karma imelipa tayari.

Karma imelipa tayari.

Hawajui kitu hao ni serkali inajaribu kujisafisha. Hamna kitu hapo huoni watuhumiwa wa Ubakaji wa yule Dada? Labda sio Tanzania ninayoijua.
Watuhumiwa wa ubakaji wa huyo Dada wamefanyaje?
 
Na Uteuzi wa leo kaambulia patupu....Pole sana kwake.
Sababu anaenda kugombea Jimbo sehemu.
Wote wenye nia hiyo waliokuwa serikali walipewa amri watoe taarifa kwa mamlaka ya uteuzi haraka ili nafasi zao zizibwe haraka.
Kuna kikao Mh.Rais alitoa maagizo adharani.
 
Hawawezi kuwa nayo kwa sababu polisi sio chombo kinachojiamulia mambo yake hivyo lolote wanalofanya liko chini ya sheria na ni chombo cha dola(executive).
Wanayo mahakama ya kijeshi kabla ya kupelekwa mahakama za kiraia lazima wapelekwe mahakama ya kijesh wafukuzwe kazi kwanza au wasimamishwe kazi ndo wapelekwe mahakama za kiraia kujibu jinai
 
Huyu jamaa amemuua kikatili sana yule dogo.
Yani mtu anadai pesa zake halafu anaishia kuuwawa kikatili namna ile?Ningekua ndio Rais wa hii nchi watu kama hawa nasaini mara moja tu ili hukumu zao zitekelezwe chap.
 
Ivi huwa hawana mahakama zao kama ilivyo kwa JWTZ?
Hawana ila hata JWTZ mahakama zao zina utaratibu wake maalum ila zinafanya kasi zaidi hasa wakati wa Vita.Wakati wa amani hazitumiki sana.Mkosaji anaweza hukumiwa mahakama za kiraia
Sasa mahakama za kijeshi ushangae hakuna wakili wala hakuna kujitetea huwa unasomewa shitaka na adhabu.
Mahakama za kijeshi uzuri wake unashitakiwa kwa kosa ambalo liko wazi umetenda.Sio huku uraiani dereva kaua kwa uzembe kibaya zaidi hata leseni hana lakini utasikia uchunguzi unaendelea
 
Jamaa pamoja na makosa lakini hapo alichezea pabaya watu wamedeal nae ki ulalo ulalo hadi apotee
Anyway ni funzo kwa yule jamaa aliyechapa watu na fimbo nyeusi
 
Back
Top Bottom