Karibuni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Makande sijawahi kupika na sitopika lakini nikiyakuta nakula kidogo sana.
Si mpenzi hata

mama wawili
Hata mie siyo mpenzi kwa kweli. Nikiwa peke yangu siwezi jipikia makande.
 
Reactions: amu
Mi pilau sipendi kula nikutane na gome la mdalasini au iliki. Nnachofanya nachemsha viungo pembeni (iliki, karafuu na mdalisini) mdalasini unatoa rangi brown nzuri.Nikipika nachuja maji yake ndo napiki...

Sent using Jamii Forums mobile app

si kuna mdalasini ya unga au nayo huipendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…