Usiogope mamaa, mi nilijua nitachelewa, nilifika saa 8 kasoro, nikaacha bia ila niliongoka na mguu, kipande cha maini na moyo. sasa ngoja nipashe pashe alafu tukakae nikwambie what you missed tukiwa safari
Hahahaha, usinikumbushe wewe. Si tulisema mambo ya Safari yaishie safari? sasa unanikumbusha natamaniiiii turudi kule! njoo bwana tule nyama choma, tuongee ya Huku...Now you are talking....lol.. And please tell what exactly I missed na pia usisahau kugusia na ile Property ya Kongosho ilifanya kituko gani tena...
Nawajua sana nyinyi, watoto pori! lazima na mimi niwe mjanja kama paka!Dah! Nimetafuta huo mguu kweli kumbe wewe ndio umeondoka nao
The weather is not good at all i suggest uhahirishe hiyo safari kwa muda.
Hahahaha, usinikumbushe wewe. Si tulisema mambo ya Safari yaishie safari? sasa unanikumbusha natamaniiiii turudi kule! njoo bwana tule nyama choma, tuongee ya Huku...
:tongue::tongue:
Unataka Kongosho aue mtu? mi simo! hahahaha, but kwa kweli hapo pekundu ...Kukumbuka is inevitable dear.... HAKUNA Jinsi....lol... Si wee mwenyewe wamuona hapa chini Boss (tongue still hanging); I think it should be done AGAIN!!
Unataka Kongosho aue mtu? mi simo! hahahaha, but kwa kweli hapo pekundu ...
The Boss Mwenyewe kimyaaaaa...
Alianzishiwa thread hapa, wakati hatupo. Kongosho alikua kesha amua aende sumbawanga, kilicho mkosea ni nauli tu! Ukiendelea utalogwa wewe!SASA I am determined!! Na hivi Roulette ana some sweet Rumors (hasa kuhusu the Boss) i can not Miss!
Upo, wewe njoo tu, mambo iko huku!!!Kongosho is very understanding (mie nilifikiri yeye ndo alimtuma huko - nikashangaa tu kwa nini hakum-accompany...lol); PA kanibania nyama... Huo mguu ulichukua umebaki?
Alianzishiwa thread hapa, wakati hatupo. Kongosho alikua kesha amua aende sumbawanga, kilicho mkosea ni nauli tu! Ukiendelea utalogwa wewe!
Ila mi nilimshtua muhusika mapema, nilimwambia anatafutwa na kongosho, kama ni uongo aseme!
Upo, wewe njoo tu, mambo iko huku!!!
Next time nitaweka camera za kuwafuatilia...lolNawajua sana nyinyi, watoto pori! lazima na mimi niwe mjanja kama paka!
Yaani ukimzungumzia Boss omba ruhusa kwa Kongosho kwanza ili asije akaleta varangati...lolSASA I am determined!! Na hivi Roulette ana some sweet Rumors (hasa kuhusu the Boss) i can not Miss!
Yaani ukimzungumzia Boss omba ruhusa kwa Kongosho kwanza ili asije akaleta varangati...lol
Yaani ukimzungumzia Boss omba ruhusa kwa Kongosho kwanza ili asije akaleta varangati...lol
@AshaDii na RussuanRoulette
You are playing with fire, mkigusa hiyo kitu nahakikisha napoteza viungo vyenu vyote muhimu.
Heee, nimemugesha kaanza kupendeza eti mwataka mfanyeje?
Namjua vituko huwa haviishi kwake lakini nikimfukuza anaanza kulia.
Keshanisimulia yoote mlofanya, leo analala stoo for 2hrs.
OMG!! Hata mie ambae ni ndugu wa damu kwa Boss? Mie nahisi you are not talking of the Kongosho I know...
AshaDii umeona hii warning haya sasa wewe na RR jaribuni kumgusa Boss muone...lol@AshaDii na RussuanRoulette
You are playing with fire, mkigusa hiyo kitu nahakikisha napoteza viungo vyenu vyote muhimu.
Heee, nimemuogesha kaanza kupendeza eti mwataka mfanyeje?
Namjua vituko huwa haviishi kwake lakini nikimfukuza anaanza kulia.
Keshanisimulia yoote mlofanya, leo analala stoo for 2hrs.
Ngoja Kongosho aje akuulize vizuri huo undugu wa Boss...lol.OMG!! Hata mie ambae ni ndugu wa damu kwa Boss? Mie nahisi you are not talking of the Kongosho I know...