Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
We Blaki,
Usimkumbushe huyu mambo ya Kericho bana, tumefanya kazi kubwa sana kumsahaulisha, na tumempa Kitengo maalum cha kum'keep-busy hukuhuku, utaacha aanze kumdipu mtu sasa hivi!...!
Orayt..... shortly😛hoto:
Nimesikia siku hizi akiwa kaunta ya juu anaagiza juisi za sayona halafu anamimina kwenye chupa ya SerengetiODM untumia kinywaji gani, kuna black, red ,blue, white
Nimesikia siku hizi akiwa kaunta ya juu anaagiza juisi za sayona halafu anamimina kwenye chupa ya Serengeti
Nafikiri ni uzee juisi za sayona kwenye chupa ya serengeti..dahhahahahah dozi au uzee
La la Lizzy atanifilisi kwa style hii....nitamchanganyia na viroba
Ni kwa usalama wako tu wala hamna chochote kile....:eyebrows:Hehehehe, nyie mbona kama kuna dili mnanipangia?
Mnataka nizimike alafu?
Hatuko kwenye cheichei shangazi...lol...we jamaa nasikia umewekwa kinyumba..nitarudi baadae kwa habari kamiliWanywa soda wanaruhusiwa au ndo tutaleta inzi wengi hapo lol
Nihesabu sitakuwepo bana maana mimi na soda tuuHatuko kwenye cheichei shangazi...lol...we jamaa nasikia umewekwa kinyumba..nitarudi baadae kwa habari kamili
Hehehehe, nyie mbona kama kuna dili mnanipangia?
Mnataka nizimike alafu?
Nipo kwenye dozi ya mseto....Khaaaaa!! Umeambiwa na cheichei shangazi...
Nipo kwenye dozi ya mseto....
Nipo kwenye dozi ya mseto....
ODM untumia kinywaji gani, kuna black, red ,blue, white
Ha ha ha... Fidel mswalie mtume, mie sina hata bustani wala pawa tila hicho kilimo kwanza ntakitekelezaje?Nakuona masaa 24 hapa hivi kilimo kwanza kinatekelezwa kweli?
Hizi ni dalili kuwa chimpumu imeishaanza kufanya kaziNdio hivo. Ikiwa serikali itaamua kuingilia kati basi itakua sawa. Nchi zingine donnor anasema anahela ngapi, alafu serikali inampa action plan ya kwaka kufatana na priorities. Sasa huku donnor ndio anachagua partners, mradi, targetd populaiton, kila kitu. Replication ya programs, overlap ya NGO na mengine mengi, huku zote ziki-concentrate katika eneo ambazo gari zinafika kiurahisi wakati wenye sida wako ndani zaidi.
Tatizo lingine ni pale wanapo kuja mwezi huu, wanatoa dawa ya miezi 3, alafu hawaonekani tena hadi mwaka kesho. Shida ni nyingi dada yetu, na suluhisho0 litapatikana serikali (mostly) itakapo amua kurudisha order. Ni bora zaidi NGO zisiwepo kabisa.
Samahani kwa kwenda nje kidogo ya mada, nilitaka tu kuonesha kwamba hata watu wakijua juhusu njia zingine (zaidi ya vidonge) wanaweza kushindwa kupata huduma sababu sekta nzima haija kaa sawa (institutional framework)
Thanks pal, namiss sana bia za stuli ndefu, huku East Timor vijamaa vinapiga gitaa na kutafuta wamama wazee wa asutralia tu wapate pesa ya kula, hakuna raha kama kwetu tunapoagiza kwa sauti kuuNimesikia siku hizi akiwa kaunta ya juu anaagiza juisi za sayona halafu anamimina kwenye chupa ya Serengeti
Njoo huku nyuma ya banda la mbuzi angalia pembeni hapo usimwage wanzuki ya SweetladyNihesabu sitakuwepo bana maana mimi na soda tuu
Lol mbona hii habari ni mpya kwangu
Nasikitika kutangaza kuwa nimepotea naomba kuonyeshwa njia
Mpwa niko busy nikihamasisha watu wasiende kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru sababu wale jamaa wa Al shabab watatumia mkusanyiko wa watu kufanya uharifu