Karibuni Wikiendii!

Karibuni Wikiendii!

bora ungadhamini pombe nyama ninunue mwenyewe, sa ivi saa sita mchana, tukianza kata mti mpaka saa nne night gharama itakuwa ndefu saana. dhamini tungi mengine yatatuhusu...
Valid ipo nyingi sana hadi mtaikimbia
 
hahahahah nilijua ulipoona jiko mate yanachuruzika ngoja nipige simu kwa mrombo ....... halafu wewe mubaya sana muda wote hujanipatia mshindo nyuma..............ok nitakuwepo kiti kile kile ole wako uchelewe
Hili neno linataka uwe bandidu kulitumia!..Hivi maana yake ni sawa na MREJESHO eeh?
 
Nakuja na chibuku yangu ya mbege. . . . mtu asiniombe.
 
Hili neno linataka uwe bandidu kulitumia!..Hivi maana yake ni sawa na MREJESHO eeh?

yes hata mie kwa mara ya kwanza kulisikia nilishangaa lipo kwenye kamusi................achana na maneno hayo nakupitia hapo twende kula mbuzi kwa TF nimebeba bapa kibao
 
yes hata mie kwa mara ya kwanza kulisikia nilishangaa lipo kwenye kamusi................achana na maneno hayo nakupitia hapo twende kula mbuzi kwa TF nimebeba bapa kibao
Aisee, angalia hii maneno...Utaacha nitume haya mafaili kwa mama mkwe wangu badala ya Head-Office kwangu, maana ukitaja hiyo makitu ofisi haikaliki, na akili haikamati!
 
Hahahaha!!! PJ halafu usikute saa hii Preta kaishatoroka ofisini...
Saa hizi Mkuu?...mbona muda sana?
Kwanza yeye aliwahi kuishi kwenye nyumba ya Mr. Ebbo(rip) eneo la Oldadai, Ngulelo ya Juu, kwahivo ameshaondoka saa mingi kwenda msibani kwa Landlord wake wa zamani.
 
Aisee we dogo,

Leo si kuna kupanga viti pale kwa Weeeeeuweeeeee! Unataka nyooooonyoo!

Ngoja nimpigie Teamo😛hoto:
 
Back
Top Bottom