Karibuni Wikiendii!

Thubutuuuu. . .
Nikifika tu nasimama sehemu ambayo kila mtu ananiona alafu nakohoa bila kuziba mdomo.

Mkwe usijali ntakuletea yakwako.
Nawatuma mgambo wakuzie nyama yetu ule halafu vinywaji ufiche
 
Aisee, angalia hii maneno...Utaacha nitume haya mafaili kwa mama mkwe wangu badala ya Head-Office kwangu, maana ukitaja hiyo makitu ofisi haikaliki, na akili haikamati!

kama nakuona vile umenyanyua mikono juu huku umeegemea kiti unatamani kumtoroka mkoloni
 
Hata juice za sayona si tunaruhusiwa kuja nazo? Mie nakuja na caton nzima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom