Msamehe tu, ni vitu vinatokea. Ila mwambie kuna kitu nilisahau mfukoni mwake... please.
Anae kudharau ni 'shemeji yako' AshaDii anataka kusema uongo. Mi najisemea tu ukweli, nilienjoy company (na sio zaidi) ila kila wakati nilikua nakumbushia kua vitu vinawenyewe... (Nimeweka shemeji in quote na nina maana yangu, mi si nilikuwepo?)Kama kuna vitu hadi mlisahaulishana sasa namhamishia kwenye banda la punda.
Simsamehi tene, Khah hadi anasahau zana mfukoni?
Hii sasa dharau
Leo Kongosho kaamua sijui sweetie wako naye kaenda kwenye kale kanyumba ndogo kake maana ni siku ya 10 kama sio mwezi haonekani nyumbani
Sasa mambo yameharibika, ngoja nikalale...Dogo tulia mbona kama "roho inakuuma kwa sana"
Anakurusha roho huyo, usichukulie. Ukute ni mpango wake na Kongosho kukuharibia siku!
Anae kudharau ni 'shemeji yako' AshaDii anataka kusema uongo. Mi najisemea tu ukweli, nilienjoy company (na sio zaidi) ila kila wakati nilikua nakumbushia kua vitu vinawenyewe... (Nimeweka shemeji in quote na nina maana yangu, mi si nilikuwepo?)
Aisee! Baadae inabidi tuongee sana tujadili mustakabali sasa ole wako usahau mshahara wangu si nimekupa wote what else do you want...Nyie watu hamjapokea mishahara?
Emu nendeni mkajiachie huko.
Hahaha! Kumbe umerudi "Welcome Back Home"Dogo tulia mbona kama "roho inakuuma kwa sana"
Nikuletee na rungu na mshale kabisaa..lolKwako wewe its a prevellage na opotunity kumuona Boss sembuse kuinjoy kampani yake.
Umepata faida sana, did u smell his pafyum?
Did u see him in his shorts ready for swimming?
Kweli iteni polisi ntaua leo.
Mama kua mpole, hawa wanaume sio ndudu zetu kabisa! we unaongelea vya short kulikua na short kule? nakwambia bora yaishie tu hapa!Kwako wewe its a prevellage na opotunity kumuona Boss sembuse kuinjoy kampani yake.
Umepata faida sana, did u smell his pafyum?
Did u see him in his shorts ready for swimming?
Kweli iteni polisi ntaua leo.
Mi nasoma mazingira. Itakuaje leo hii The Finest akugeuke ? Lazima Kongosho kamshawishi maana anahasira za kuua mtu hapa!Yaani sikujua kuwa unaweza kuwepo in time kusema ukweli, thank you RRπoa:A S-coffee:
Sasa mambo yameharibika, ngoja nikalale...
Mustakabali gani tena?Aisee! Baadae inabidi tuongee sana tujadili mustakabali sasa ole wako usahau mshahara wangu si nimekupa wote what else do you want...
Hahaha! Kumbe umerudi "Welcome Back Home"
Sijaelewa elewa ila I suspect unanitakia njozi njema, asante baba. nakuachia hii kesi, naona Alter Ego kaingia mitini, The Boss hajibu, nimebaki peke yangu. Usiku mwema Jamani. AshaDii akija mniamshe nione hii barbecue inaishaje leo πopcorn:Noch nicht....bitte warten....
Mi nasoma mazingira. Itakuaje leo h8ii The Finest akugeuke leo? Lazima Kongosho kamshawishi maana anahasira za kuua mtu hapa!
Sijaelewa elewa ila I suspect unanitakia njozi njema, asante baba. nakuachia hii kesi, naona Alter Ego kaingia mitini, The Boss hajibu, nimebaki peke yangu. Usiku mwema Jamani. AshaDii akija mniamshe nione hii barbecue inaishaje leo πopcorn:
YWNWA ndio nini? Yout of West, North and Wild Africa?wow....nonetheless, haupo peke yako...and YWNWA....mi nipo....naomba muongozo
Anae kudharau ni 'shemeji yako' AshaDii anataka kusema uongo. Mi najisemea tu ukweli, nilienjoy company (na sio zaidi) ila kila wakati nilikua nakumbushia kua vitu vinawenyewe... (Nimeweka shemeji in quote na nina maana yangu, mi si nilikuwepo?)
Dogo tulia mbona kama "roho inakuuma kwa sana"
Sasa mambo yameharibika, ngoja nikalale...
Nyie watu hamjapokea mishahara?
Emu nendeni mkajiachie huko.
Yaani sikujua kuwa unaweza kuwepo in time kusema ukweli, thank you RRπoa:A S-coffee:
Kwako wewe its a prevellage na opotunity kumuona Boss sembuse kuinjoy kampani yake.
Umepata faida sana, did u smell his pafyum?
Did u see him in his shorts ready for swimming?
Kweli iteni polisi ntaua leo.
Noch nicht....bitte warten....