kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Kama mwembamba na anavaa miwani muite "Tulia"
Usitbubutu kabisa kumwita jina hili. Nina mtoto wa dada yangu ana matusi huyo mpaka basi. Hafai.......!Chiku
Tuyaenzi majina yetu ya awali yanaelekea kupoteaUsitbubutu kabisa kumwita jina hili. Nina mtoto wa dada yangu ana matusi huyo mpaka basi. Hafai.......!
uwiiiiii mama we acha utani weweKama mwembamba na anavaa miwani muite "Tulia"
Nyanzala, Nyanjige, Nyanzobhe, Nyamatama, NyamayaoHabari wana Jf
Namshukuru Mungu kwa kunipatia mtoto jinsia ya kike sasa nmekuwa nikipata sana shida kwenye kumchagulia jina mtoto
Kwahiyo naombeni msaada wenu wana Jf majina ambayo nyie mtayaona ni mzuri alafu mimi ntachagua moja
Unawaza nichagulia majina mengi uwezavyo
Jina la mtoto naomba liwe la kikisto.