Umesahau jina langu bora la kikeMbona sioni ya kiswahili? Vipi kuhusu;
Furaha
Neema
Maisha
Raheli
Rehema
Kenya
Maria
Shangwe
Upendo
Zawadi
Bahati
Muafrika alikua stripped off tamaduni zake kupitia dini ambazo ameendelea kuzikumbatia Hadi leo, mbaya zaidi hajaishia kwenye dini Sasa anajaribu kila sababu ya kujinasabisha na uzungu/uarabu na watu kama wewe mnatetea! Mizungu is proud of u Man.
Hivi Asians hawakutawaliwa, Nigeria je, vp South Africa, hapo Kenya vp ila jiulize ni watu wangapi toka hizo nchi ambao wanamajina ya wakoloni wao? Leo TZ sio majina tu hata lugha inapotea, makabila yanapotea, kiswahili sanifu kinapotea kabla hakijapotea chote jumla, mtu Kama wewe bado unatetea eti Dunia Kijiji, hao wanaokwambia Dunia Kijiji mbona wao lugha zao hazipotei achilia mbali majina.
Sisemi wachukie wazungu Bali kuwa proud na chako. Kuna tofauti ya kuchukia na kuwa proud of your own. Binafsi siwapendi kabisa wanigeria yani nawachukia na kila kitu chao iwe nguo, muziki, movies nk ila when it comes to their own hakuna watu ambao wapo proud na vyao, from majina, muziki, mavazi na movies. Nigeria ndo nchi pekee Africa ambayo mtu wake anaamini yeye ni Bora kuliko mwingine tena kuliko mzungu, wakati sisi watanganyika tunaamini baada ya Mungu ni mzungu
Mtu Kama wewe Huna tofauti na Dada anayejichubua kutaka uzungu naona unawatetea hadi unatokwa jasho. Again Mizungu are proud of u
Siwezi mpa mwanangu jina la mikoloni na Kama ni mwanangu nikimlea hawezi kosa akili akajiita Beyonce sijui cutelicious sijui bootylicious, s/he will grow to love and appreciate his/her traditions. Kama ambavyo muasia au mnigeria haitwi Moses hata akienda Ulaya bado ataitwa Munsa, wakati mitanganyika Hashimu Thabiti kawa Hasheem Thabeet. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kwa mtazamo wako naona siku mwanao akisema hata surname yake hataki anataka iwe ya mkoloni utafanya party kabisa. Mizungu are proud of youbasi naona hatuna tofauti.. hata mimi siwachukii wazungu wala wa nigeria wala watu wengine wowote, they have their ways of life just like i have mine. nimezaliwa nikaskia tuseme "david david david" basi nikajua ilo ndo jina langu na jirani yangu nikaskia anaitwa chausiku basi ilo ndo jina lako... na wote marafiki tu wazuri. sasa ugomvi unakuja wapi..
mchaga wa watu kabarikiwa mtoto kakulia parokiani kaona amwite mwanae david we unatokwa povu la nini, unajiona muhenga kuliko yeye.
on the other hand, mhaya kaona wake awe na jina la nyumbani Koku na la kuandikisha Justine, kinachokuuma ni kipi.
Kuwa na choices haimaanishi hauko proud of what you have not chosen. its just a favourable choice to you! we waite wako ngwagabole.. achana mwenzio awe cutielicious..
tena kwa povu lako la uhenga utaumia sana siku umeenda kumchukua mtoto wako shule unauliza zaituni yu kwapi, watu hawamjui kumbe ashaji nick name: "bebito zee"..
NomaCleopatra
[emoji28] [emoji28] [emoji28] dah mkuuSakina au Rhoda
au Geturuda
Majina ya bibi zetu haya japo siku hizi hamyataki mnataka kuwapa watoto mania ya kina Cookie, Moreen , Doreen , Pussy n.k
Habari, nami nahitaji jina la kumpa mtoto wangu wa kiume,.amezaliwa tar 07/08/2019 jumatano, ni mkristo, Naomba msaada wa haraka kwani hospitar wanahitaj ili wamsajir cheti cha kuzaliwaPlease chagua hapo juu
Habari, nami nahitaji jina la kumpa mtoto wangu wa kiume,.amezaliwa tar 07/08/2019 jumatano, ni mkristo, Naomba msaada wa haraka kwani hospitar wanahitaj ili wamsajir cheti cha kuzaliwa
Habari, nami nahitaji jina la kumpa mtoto wangu wa kiume,.amezaliwa tar 07/08/2019 jumatano, ni mkristo, Naomba msaada wa haraka kwani hospitar wanahitaj ili wamsajir cheti cha kuzaliwa