Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

Muite Kibena au Mchiro lakini siyo mbaya pia ukimuita Kinoge.
 
Jembe, muite tu Kilambimkwidu umalize kazi

*lugha ni sauti za nasibu*
 
Could utumwa wa fikra wa mbongo be any clearer than in this thread! Mbongo anaamini Kama mtoto Hana jina la kisungu au la kiarabu basi hafai, kwa maana nyingine ni Lazima kujinsabisha na uzungu japo kwa jina tu ili na wewe ujione mzungu. Smh

Watu wanaona kuwapa watoto wao majina ya kiswahili au kabila Lao ni ushamba. Smh. Wabongo tunasafari ndefu sana
 
na hutokaa mkuta mzungu anaitwa mtogole, ngulelo..nk ila utaifa na uzalendo sio kwenye majina bali fikra na matendo.. dunia ya sasa ishakua haina mipaka. nafkiri in the near future tutaacha kuongelea habari za kuacha ukabila bali kuacha u-nchi..
Wakati wewe unadanganywa kuacha tamaduni zako ili ufuate zao jiulize hao wanaokwambia Dunia imekua kijiji wameacha nini? Miafrika huwa mnakubali kila kitu tu ilimradi mzungu kasema ilhali wenyewe hawafanyi hivyo
 
Inashangaza sana mkuu, tamthilia zimekuja kuharibu tamaduni za waafrika hasa wabongo, watu wanapendekeza majina ya kwenye movie bila kujua hata yana maana gani.

Nawakubali sana wa south na wanaijeria, mnaijeria ata akizaliwa Los Angeles ataitwa Nneoma, Akpotha,Chibuzo. Wasouth passport zao zimejaa majina kama Andile,Sandile,Nthabisego,Mphisane etc.

Njoo kwetu sasa utaskia mtu anamwita mtoto wake Careen,Glory,Candy,Ariana,Jefferso.. Yaani ni upuuzi mtupu
Ni utumwa wa fikra wa kiwango cha juu. Mimi huwa namdharau mtu almost instantly akijitambulisha hasa kwa majina mawili au matatu ya kitumwa, unakuta mtu anaitwa John Peter au abdallah Abdul na kuficha mbali kabisa jina la asili la toka kwao Ileje.

Huu upuuuzi tunao hasa sisi wabongo ila sio wawest Africa na wasouth Africa hata hapo Kenya tu wengi Wao bado wanatumia majina yao ila njoo bongo sahizi Kuna watoto weusi na kipilipili wanaitwa Sean, Beyonce, tena wengine wanamajina yote matatu yakitumwa. smh
 
Habari wana Jf

Namshukuru Mungu kwa kunipatia mtoto jinsia ya kike sasa nmekuwa nikipata sana shida kwenye kumchagulia jina mtoto

Kwahiyo naombeni msaada wenu wana Jf majina ambayo nyie mtayaona ni mzuri alafu mimi ntachagua moja

Unawaza nichagulia majina mengi uwezavyo

Jina la mtoto naomba liwe la kikisto.
Cleopatra
 
Kuna wazungu hawajui hata kama Africa wanaishi binadamu, wao wanajua huku wanaishi wanyama tu tena wanyama pori.

Hata wanaoifahamu Africa vizuri wanaona Africa hakuna cha kuiga.

Dunia inazidi kupanuka na hili ndio linaenda kuuwa tamaduni za afrika kwa kiasi kikubwa.

Kuwapachika watoto wetu majina ya kigeni ni ulimbukeni mkubwa

i beg to differ abit! pia naweza sema ni ulimbukeni kuona kuna sababu ya kulipa kisasi eti sababu wao hawajui kua sisi kwetu kuna maghorofa basi nawewe majina yao huyatumii.. kwanza nafkiri inatakiwa uwaone huruma for such ignorance.. mzungu mmoja aliwahi niliuliza nivyokua nchi yao (wenye majungu sina nia ya kusema nilisafiri kwenda nnje ya nchi, bara la ulaya to be precise, but i did) aliuliza eti are there airplanes and flights, how dd u get here..? i was like "i was swimming all the way through river nile to egypt, took a camel and then swim again to your port.. learn some geography and watch less tv!"... sio kwamba hawataki kuiga, some are just ignorant.
ila tambua kua mfumo wa watanzania wengi ni katika imani, sasa kwa wakristo vitu kama majina vingi vimetoka kwenye biblia kama david, samson nk.. kama ilivyo tu kwa waislam ali, juma.. ivyo ugeni ni upi, dini tulizonazo?
 
Wakati wewe unadanganywa kuacha tamaduni zako ili ufuate zao jiulize hao wanaokwambia Dunia imekua kijiji wameacha nini? Miafrika huwa mnakubali kila kitu tu ilimradi mzungu kasema ilhali wenyewe hawafanyi hivyo

hoja yangu iko apo juu!
 
Wafrika ktk ubora wetu. Dunia ya Mungu, vitu vya mzungu.
Wazungu ni watu muhimu sana, km wasingekuja wazungu wafrika tungekuwa ktk hali mbaya sana kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni.
Huwa namshangaa sana mtu anayemtukana mzungu.
Alexa, Sasha, Charlote,
Ha ha ha ha chausiku, chiku, neema, mwamvua, Remi, tupa kule
Emancipate yourself from mental slavery!
 
i beg to differ abit! pia naweza sema ni ulimbukeni kuona kuna sababu ya kulipa kisasi eti sababu wao hawajui kua sisi kwetu kuna maghorofa basi nawewe majina yao huyatumii.. kwanza nafkiri inatakiwa uwaone huruma for such ignorance.. mzungu mmoja aliwahi niliuliza nivyokua nchi yao (wenye majungu sina nia ya kusema nilisafiri kwenda nnje ya nchi, bara la ulaya to be precise, but i did) aliuliza eti are there airplanes and flights, how dd u get here..? i was like "i was swimming all the way through river nile to egypt, took a camel and then swim again to your port.. learn some geography and watch less tv!"... sio kwamba hawataki kuiga, some are just ignorant.
ila tambua kua mfumo wa watanzania wengi ni katika imani, sasa kwa wakristo vitu kama majina vingi vimetoka kwenye biblia kama david, samson nk.. kama ilivyo tu kwa waislam ali, juma.. ivyo ugeni ni upi, dini tulizonazo?
Muafrika alikua stripped off tamaduni zake kupitia dini ambazo ameendelea kuzikumbatia Hadi leo, mbaya zaidi hajaishia kwenye dini Sasa anajaribu kila sababu ya kujinasabisha na uzungu/uarabu na watu kama wewe mnatetea! Mizungu is proud of u Man.

Hivi Asians hawakutawaliwa, Nigeria je, vp South Africa, hapo Kenya vp ila jiulize ni watu wangapi toka hizo nchi ambao wanamajina ya wakoloni wao? Leo TZ sio majina tu hata lugha inapotea, makabila yanapotea, kiswahili sanifu kinapotea kabla hakijapotea chote jumla, mtu Kama wewe bado unatetea eti Dunia Kijiji, hao wanaokwambia Dunia Kijiji mbona wao lugha zao hazipotei achilia mbali majina.

Sisemi wachukie wazungu Bali kuwa proud na chako. Kuna tofauti ya kuchukia na kuwa proud of your own. Binafsi siwapendi kabisa wanigeria yani nawachukia na kila kitu chao iwe nguo, muziki, movies nk ila when it comes to their own hakuna watu ambao wapo proud na vyao, from majina, muziki, mavazi na movies. Nigeria ndo nchi pekee Africa ambayo mtu wake anaamini yeye ni Bora kuliko mwingine tena kuliko mzungu, wakati sisi watanganyika tunaamini baada ya Mungu ni mzungu

Mtu Kama wewe Huna tofauti na Dada anayejichubua kutaka uzungu naona unawatetea hadi unatokwa jasho. Again Mizungu are proud of u
 
Back
Top Bottom