Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Wadau habari zenu!

Nimeanzisha huu Uzi ili tupeane majina mazuri kwa watoto wetu pale ambapo tunapata mtoto na kuwaza jina la kumpa.

Naamini Great Thinker mtanipa ushirikiano mzuri sana. Naomba pia mtu atoapo Jina atuampie kama ni la kike au la kiume na maana yake.

Karibu tupeane majina mazuri kabisa kwa ajili ya wanetu.


NB: Kijacho wangu coming soon
 
majina ya nyumbani yenye maana nzuri ni muhimu zaidi katika kutetea mila na desturi zetu
 
Back
Top Bottom