Mpe hili "figisu figisu"Wadau naombeni mnipe majina mazuri ya kumpa mtoto wa kiume au wa kike....
NB: Kijacho wangu coming soon
MuislamDini gani
Nisivyompenda huyo mtukama wakiume muite MAGUFURI atakuwa mtumbuaji mzuri sana hapo baadaye
MuslimWw dini GAni
Ndio maana nmepostyaan huna kabisa jina la kumwita mwanao?
Muite Tezi Dume
Mpe hili "figisu figisu"
Wa kiume muite Uwanja, wa kike muite wafisi full stop!!!!
muite JAMII FORUMS kwa heshima ya ofisi hii. ila kibali cha Invisible kinahusika
Hajataja dini gani.
MPE Zombie wa kike,Wakiume Vampire.
Ha ha ha haa au kingunge litamfaa
Hâta haisemi dini yako unataka majina unaona unavyojibiwa haya muite Nape
Mpe lile jina bora week hii[emoji4]
CongCong Wang
muite Nape
Nawe ulizidi.Unge-mention na Diini ingekaa safi sana.Daaaah acheni utani basi... Btw mi muslim so jina la kiislam litafaa zaidi
Daaaah acheni utani basi... Btw mi muslim so jina la kiislam litafaa zaidi
Wwwewe
Mwanao mtafutie jina lenye "baraka"Daaaah acheni utani basi... Btw mi muslim so jina la kiislam litafaa zaidi
Chagua majina haya
1)JECHA
2)NKURUZINZA
3)MUSEVEN
4)LUBUVA
Muite wa kwakoMwite JIPU litamfaa maana halijali jinsi!
Muite Bijampola
wa kiume muite baraka, majaliwa, makini n.k
wa kike muite pendo, waridi, neema n.k
Muite Kauthari/Najat kwa kike au Mudathir/Abdulatif kwa wakiume