dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,531
Muombe MUNGU akupe Jina kuwa makini jina utakalompa mtotoWadau naombeni mnipe majina mazuri ya kumpa mtoto wa kiume au wa kike....
NB: Kijacho wangu coming soon
Muombe MUNGU akupe Jina kuwa makini jina utakalompa mtotoWadau naombeni mnipe majina mazuri ya kumpa mtoto wa kiume au wa kike....
NB: Kijacho wangu coming soon
Kama ni Muislam Mpe lauratIts november jina zuri kwa sisi wafuatiliaji wa unajimu wa kidini akiitwa Laura, Laurine ni Sawa ni alama ya ushindi na utukufu. Hutojuta kumpa majina Haya utanikumbuka one Day
CleopatraHabari wana Jf
Namshukuru Mungu kwa kunipatia mtoto jinsia ya kike sasa nmekuwa nikipata sana shida kwenye kumchagulia jina mtoto
Kwahiyo naombeni msaada wenu wana Jf majina ambayo nyie mtayaona ni mzuri alafu mimi ntachagua moja
Unawaza nichagulia majina mengi uwezavyo
Jina la mtoto naomba liwe la kikisto.
Hahahahahahahah ilo la kiumeUwoya