Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

Carolina, marygoreth, martina, mysara

Sarafina,Beatrice, Suzanne
Wafrika ktk ubora wetu. Dunia ya Mungu, vitu vya mzungu.
Wazungu ni watu muhimu sana, km wasingekuja wazungu wafrika tungekuwa ktk hali mbaya sana kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni.
Huwa namshangaa sana mtu anayemtukana mzungu.
Alexa, Sasha, Charlote,
Ha ha ha ha chausiku, chiku, neema, mwamvua, Remi, tupa kule
 
Mchagulie moja kati ya haya ya Kibantu;
Ashibae
Havintishi
Wantebweresha
 
Sakina au Rhoda
au Geturuda

Majina ya bibi zetu haya japo siku hizi hamyataki mnataka kuwapa watoto mania ya kina Cookie, Moreen , Doreen , Pussy n.k
Inashangaza sana mkuu, tamthilia zimekuja kuharibu tamaduni za waafrika hasa wabongo, watu wanapendekeza majina ya kwenye movie bila kujua hata yana maana gani.

Nawakubali sana wa south na wanaijeria, mnaijeria ata akizaliwa Los Angeles ataitwa Nneoma, Akpotha,Chibuzo. Wasouth passport zao zimejaa majina kama Andile,Sandile,Nthabisego,Mphisane etc.

Njoo kwetu sasa utaskia mtu anamwita mtoto wake Careen,Glory,Candy,Ariana,Jefferso.. Yaani ni upuuzi mtupu
 
na hutokaa mkuta mzungu anaitwa mtogole, ngulelo..nk ila utaifa na uzalendo sio kwenye majina bali fikra na matendo.. dunia ya sasa ishakua haina mipaka. nafkiri in the near future tutaacha kuongelea habari za kuacha ukabila bali kuacha u-nchi..
 
Kuna wazungu hawajui hata kama Africa wanaishi binadamu, wao wanajua huku wanaishi wanyama tu tena wanyama pori.

Hata wanaoifahamu Africa vizuri wanaona Africa hakuna cha kuiga.

Dunia inazidi kupanuka na hili ndio linaenda kuuwa tamaduni za afrika kwa kiasi kikubwa.

Kuwapachika watoto wetu majina ya kigeni ni ulimbukeni mkubwa
 
Habari wana Jf

Namshukuru Mungu kwa kunipatia mtoto jinsia ya kike sasa nmekuwa nikipata sana shida kwenye kumchagulia jina mtoto

Kwahiyo naombeni msaada wenu wana Jf majina ambayo nyie mtayaona ni mzuri alafu mimi ntachagua moja

Unawaza nichagulia majina mengi uwezavyo

Jina la mtoto naomba liwe la kikisto.

Muite tu Janet kwani lazima tu na Yeye atakuja kuwa ' First Lady ' kwa Mumewe kama ilivyo kwa wenzake akina Janet Museveni, Jeannete Kagame na Janeth Magufuli. Ila uhakikishe tu ni mzuri kwani wenye hayo majina nadhani unajua kuwa wote si tu ni Warembo bali pia wake very ' photogenic '. Kama ana Sura ya Saa 12 jioni ( namaanisha mbaya ) tafadhali usimwite Janet bali chagua tu kati ya Deborah, Lucy au Anna.
 
Muite Kibena au Mchiro lakini siyo mbaya pia ukimuita Kinoge.
 
Back
Top Bottom