Eugeniafaith
Member
- Apr 3, 2012
- 87
- 30
Mpe antje
lkn siyo sehemu ya majibu ya kuchagua!Aneth.....................
mmh! AN wa wapi?Hapo mie ningetupia kitu cha AN...kuna kitoto nlikua nafukuziaga kinaitwa AN nikashindwa mpaka leo nagugumia maumivu ya moyo bana arrrrgh.....
Labda ingenipunguzia machungu .....
mkuu AN stands for Aneth/Annetlkn siyo sehemu ya majibu ya kuchagua!
o-o-ooooooh!!kuwa uyajue,mi sikuwa najua ati,asante kwa kunitoa tongotongo uzeeni!mkuu AN stands for Aneth/Annet
hahahahhahha! jamani kuna watu mnavituko.
mmh! AN wa wapi?
cc Nicas Mtei
Isije ikawa ni AN nimjuaye
Kurisi=kurithiMajina ya kurisi mkuu yana mambo yake usipoangalia linaleta matata
weweWw dini GAni
Acha ubishiSi ushaelewa