Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

Karibuni tupeane Majina mazuri ya watoto

Ilona,carine,Gilda,deshi,An,D,Roos,Aimi,,Brier,Antje,Laika,Ashna, Dewi .Thanks

usipoteze asili ya kwenu kwa kujifanya wazungu.mwarabu akibatizwa hawezikuitwa mashamba wala john ataitwatu abdara, ita mwanaasha zaifu
 
Hapo mie ningetupia kitu cha AN...kuna kitoto nlikua nafukuziaga kinaitwa AN nikashindwa mpaka leo nagugumia maumivu ya moyo bana arrrrgh.....

Labda ingenipunguzia machungu .....
 
Sikitu,zuwena,zamda,ziada,chausiku,milembe,ghati,bhoke,maimuna,koku na manka.
 
usipoteze asili ya kwenu kwa kujifanya wazungu.mwarabu akibatizwa hawezikuitwa mashamba wala john ataitwatu abdara, ita mwanaasha zaifu

Baba ake mzungu ataweza tamka kweli ? L kiafrika tunalo BONGI
 
Natarajia mtoto wa kike hiyo ndio list
Natalia ukitoa maana ya kila jina ingekuwa rahisi kupata majibu .. Kuliko kuchagua jina hujui hata lina maana gani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom