Karibu Pearl tuakusubiri Sussy

Mkuu tumekutafuta vituo vyote vya polisi hatimaye umepatikana

Kamanda; nipo Mkuu, nilikuwa mafichoni najivua gamba Mkuu ili nijunde au nianze upya.

Pearl na wadau wengine kuwa natafutwa huku na mkuu wa jukwaa la wakubwa . . . lol

Nimesha report Mkuu.

Niaje?
 
Kamanda; nipo Mkuu, nilikuwa mafichoni najivua gamba Mkuu ili nijunde au nianze upya.

Pearl na wadau wengine kuwa natafutwa huku na mkuu wa jukwaa la wakubwa . . . lol

Nimesha report Mkuu.

Niaje?
Karibu tena jamvini mkuu
 
Haya wapendwa usiku mwema
mi nakitoa hivyo
PEarl mpenzi tutaonana baadaye
mama wa BUsara nataka kuongeanawewe kwa herufi kubwa
babu ASPRIN usipoteze meno na miwani tena..
Superman nice to c back
BE achakuandika kwa lugha ya machungwa
Klorokwin bado naumwa dawa yako mbovu sana
TF mpenzi .. try sleeping with a broken heart ..Alicia keys
 
mmh ungeniuliza mm I najua alikokuwa un sh ngapi nikwambie?

Mkuu utagombanisha watu hapa. Jamaa tunaheshimiana sana. Nimemsikia anakwita Sweetheart, sasa sisi wengine tunapenda amani, utulivu na mshikamano.
 
Wapendwa wangu wa MMU
weekend hiyo inachungulia chungulia

Kabla sijaendelea nimemomwama
mpenzi wetu PEARL amerudi karibu sana
mpendwa tumefurahi kukuona tena
pole kwa yote hopeful sala zetu zilikufikia..

Tuzidi kumwombea dada Sussy ili
Naye arejee kundini..

Mimi na rafiki yangu mmoja hapa JF
Tumempoteza rafiki
Wetu wa karibu sana siku tisa leo tangu atuage..

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina Lake Libarikiwe..

Nway wana JF nawatakia weekend njema
Upendo kitu cha muhimu na cha bure
kweli hatujui siku walaa saa ..
nawatakia upendo,amani na baraka zote weekend hii.
Amen
Amina Tuna mkaribisha Karibu tena!!!
Ila kitukimoja cha Bure Je??Leo twaweza kukutana wapi mimi na wewe??
 
Haya wapendwa usiku mwema
mi nakitoa hivyo
PEarl mpenzi tutaonana baadaye
mama wa BUsara nataka kuongeanawewe kwa herufi kubwa
babu ASPRIN usipoteze meno na miwani tena..
Superman nice to c back
BE achakuandika kwa lugha ya machungwa
Klorokwin bado naumwa dawa yako mbovu sana
TF mpenzi .. try sleeping with a broken heart ..Alicia keys

nimekusoma afro wangu,mi nakusubiri ikibidi ntakumbushia kupitia kea of...uwe na wk end njema
 
Haya wapendwa usiku mwema
mi nakitoa hivyo
PEarl mpenzi tutaonana baadaye
mama wa BUsara nataka kuongeanawewe kwa herufi kubwa
babu ASPRIN usipoteze meno na miwani tena..
Superman nice to c back
BE achakuandika kwa lugha ya machungwa
Klorokwin bado naumwa dawa yako mbovu sana
TF mpenzi .. try sleeping with a broken heart ..Alicia keys

Mmmh . . . we haya weee . . . hivyo tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom