Karibu Pearl tuakusubiri Sussy

Karibu Pearl tuakusubiri Sussy

hehehe halaf ankal hiyo mikwala yako utazani kweli vile! hivi lile baskeli lako ushaweka spoki mpya?
Wale jamaa wa vyuma chakavu si wameondoka nayo hapa niko naongea na wanakijiji tufanye mkutano kesho waninunulie PHOENIX mpya
 
Wale jamaa wa vyuma chakavu si wameondoka nayo hapa niko naongea na wanakijiji tufanye mkutano kesho waninunulie PHOENIX mpya
hehehe ankal usijali bana ndio maisha. Afazali ya wewe , Uporoto inasemekana hata TV anaangalia kwa jirani. CCM bana!
 
Khaaa!!!! Hivi Hashycool kule boda ndio kwishnei kabisa
tatizo haelewi kiingereza, hivyo maelewano hakuna kabisa baina yake na askari wa boda na ubalozi wa tanzania wamemkana wamesema sura yake anaonekana kama mkikuyu. Dah!
 
tatizo haelewi kiingereza, hivyo maelewano hakuna kabisa baina yake na askari wa boda na ubalozi wa tanzania wamemkana wamesema sura yake anaonekana kama mkikuyu. Dah!
Nasikia Michelle ameenda kuokoa jahazi kaenda kuwa mkalimani
 
khaaaa! halaf jamaa namimi namdai pia ujue. Alitaka kumtoa Lizzy out akaniazima hela ya drinks, hajarejesha bana!
Alikuja kwangu kuniazima ile suruali yangu ya mchelemchele na lile shati la bahama wakati anaenda kumtoa out lizzy hajarudisha hadi leo
 
Hii thread hii hii imenichanganya mnazungumzia nini tena hapa Susy na Pearl???

No comment
 
Alikuja kwangu kuniazima ile suruali yangu ya mchelemchele na lile shati la bahama wakati anaenda kumtoa out lizzy hajarudisha hadi leo
Na wewe pia??Nlidhani Kloro tu ndo mwenye chuki binafsi...haya bana endeleeni!
 
Afro Denz upo Mkuu?

Dahhhh yaani superman
tangu uwende kuwaokoa wale
wa katikati ya dunia
Ndo ukatusahau kabisa yaaani
khaaaa hiyo haikubaliki kabisaaa
hahahahahahahah lol

Mie nipo mpendwa hofu
na mashaka ni we uliembali na upeo
wa JF hahaha lol
vipi we mzima?
 
Dahhhh yaani superman
tangu uwende kuwaokoa wale
wa katikati ya dunia
Ndo ukatusahau kabisa yaaani
khaaaa hiyo haikubaliki kabisaaa
hahahahahahahah lol

Mie nipo mpendwa hofu
na mashaka ni we uliembali na upeo
wa JF hahaha lol
vipi we mzima?
Sugarcake
 
Amina Tuna mkaribisha Karibu tena!!!
Ila kitukimoja cha Bure Je??Leo twaweza kukutana wapi mimi na wewe??
Never afraid to say what you want
coz u can only die once..

Love that signature..
nway pale pale pa siku ile..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom