The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Dah!! Ngoja niangalie handaki langu kama bado liko poamydear finest naomba uwe stand by just in case maana kuna tetemeko limepita pande hii muda c mrefu.......
Dah!! Ngoja niangalie handaki langu kama bado liko poamydear finest naomba uwe stand by just in case maana kuna tetemeko limepita pande hii muda c mrefu.......
Ahaaa ahaaa mkuu hiyo hapa aisee hebu tafuta Ballantines iweke ikae sawaniko mkuu wangu acha huu mswada tujue hatma yake ntakulazmishia bakadi moja ili nifurahi......lolz
:tape::tape::tape:vipi leo mbn husomeki unatatizo gani?hali ya hewa nn?should I make u coffee or tea?black or white? sugar or without?
:tape::tape::tape:Haya wapendwa usiku mwema
mi nakitoa hivyo
PEarl mpenzi tutaonana baadaye
mama wa BUsara nataka kuongeanawewe kwa herufi kubwa
babu ASPRIN usipoteze meno na miwani tena..
Superman nice to c back
BE achakuandika kwa lugha ya machungwa
Klorokwin bado naumwa dawa yako mbovu sana
TF mpenzi .. try sleeping with a broken heart ..Alicia keys
Mkuu utagombanisha watu hapa. Jamaa tunaheshimiana sana. Nimemsikia anakwita Sweetheart, sasa sisi wengine tunapenda amani, utulivu na mshikamano.
[/QUOTE]u beta put that woman first![QUOTE=The Finest;1859453]:tape::tape::tape:
ah ah ah ukiwa bondia usiogope ngumi za uso,kwanza swty hut ipo mpaka kwenye lotion!
Bora niwe kama 20%: Najiweka Pembeni; Naepusha Msongamano!
Mkare ni peleke pare pare
na kare ka wimbo cha kare..
In serious not .. I love that song..
[/QUOTE]ah ah ah naona unataka kujivua gamba au ww unalivua pendo?
Bill on Constitution will be withdrawn
khaaa! waswahili bana! hapo red lazima itakuwa kuna mpambe kapika majungu.Haya wapendwa usiku mwema
mi nakitoa hivyo
PEarl mpenzi tutaonana baadaye
mama wa BUsara nataka kuongeanawewe kwa herufi kubwa
babu ASPRIN usipoteze meno na miwani tena..
Superman nice to c back
BE achakuandika kwa lugha ya machungwa
Klorokwin bado naumwa dawa yako mbovu sana
TF mpenzi .. try sleeping with a broken heart ..Alicia keys
Sasa wewe unajifanya Ambilikile Mwaisapile wa Kichina unategemea ninikhaaa! waswahili bana! hapo red lazima itakuwa kuna mpambe kapika majungu.
hehehe nilijua tu warembo watagombania hii bahati ya kutongozwa na selebriti klorokwini. Yaani nimeloog in maPM ya kujishebedua kibao kutoka kwa kinadada. Acha nianze kuyajibu.Embu anza hapa...ila njoo PieM!
hehehe nilijua tu warembo watagombania hii bahati ya kutongozwa na selebriti klorokwini. Yaani nimeloog in maPM ya kujishebedua kibao kutoka kwa kinadada. Acha nianze kuyajibu.
khaaa! mama umechafua CV, omba razi kabla sijakata huduma za kukusambazia vocha. Halaf huyo ze finest ni hauzboy wa mitaa gani? mbna tunashushiana hazi banaHuna ishu...nimesikia unaendesha mchuma wa Fynest ndo unatamba ni wako!Wkend unapiga gongo au chang'aa?
problem solved: AD ameniomba razi huku PM.Sasa wewe unajifanya Ambilikile Mwaisapile wa Kichina unategemea nini