Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
Dahhhh yaani superman
tangu uwende kuwaokoa wale
wa katikati ya dunia
Ndo ukatusahau kabisa yaaani
khaaaa hiyo haikubaliki kabisaaa
hahahahahahahah lol
Mie nipo mpendwa hofu
na mashaka ni we uliembali na upeo
wa JF hahaha lol
vipi we mzima?
AD mimi nipo pouwa na safari hii sikwenda kuokoa watu ila mafichoni nikijivua gamba.
Niliporudi nakutana na SM yu wapi? Mara naizimia Avatar ya AD na mambo kibao? Niaje jamaa anaizimia Avatar yako?
Ila long time sana . . . . u know . . .
Niaje mambo ya Rugby?