Homeboy inakuwaje naona kama kawaida yakoKaribu chumbani Pearl
Asante sana mpz Afrodenzi/mke mwenza/shostito/waukweli sijui ilikuwaje sikuona hii thread!asanteni sana watu woooote wa JF kwa sala,na mawazo,ushauri wenu ktk kipindi hiki kigum sana kwangu ol in ol life has to move on!
mmmmh mtu mmoja nadani ungeweza tu kuongea kwa utaratibu na busara kuliko kutumia maneno mabay,fine it can be hukupenda hii iwe hapa au labda kuna zako uliandika zikatolewa na kutupiliwa mbali lkn waswahili wanasema bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi wataingia watu na kukufanya mby!
Thx pipo it real had kuwa mention kila mmoja wenu lkn naamini kama familia ya JF TUKO NA TUTAENDELEA KUWA WAMOJA TUKIPENDANA,KUSHAURIANA,KUFARIJIANA NA KUSAIDIANA KADRI YA UWEZO WETU.
Karibu sana mpenziAsante sana mpz Afrodenzi/mke mwenza/shostito/waukweli sijui ilikuwaje sikuona hii thread!asanteni sana watu woooote wa JF kwa sala,na mawazo,ushauri wenu ktk kipindi hiki kigum sana kwangu ol in ol life has to move on!
mmmmh mtu mmoja nadani ungeweza tu kuongea kwa utaratibu na busara kuliko kutumia maneno mabay,fine it can be hukupenda hii iwe hapa au labda kuna zako uliandika zikatolewa na kutupiliwa mbali lkn waswahili wanasema bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi wataingia watu na kukufanya mby!
Thx pipo it real had kuwa mention kila mmoja wenu lkn naamini kama familia ya JF TUKO NA TUTAENDELEA KUWA WAMOJA TUKIPENDANA,KUSHAURIANA,KUFARIJIANA NA KUSAIDIANA KADRI YA UWEZO WETU.
Homeboy inakuwaje naona kama kawaida yako
Naona mwaliko Pearl kaupotezea kiaina ngoja nimfuate kwa PM
Khaaaa!!!!!!alafu wewe si tuko chumba kimoja?unataka nn tena jamani?
Khaaaa!!!!!!
tumsubirie ze finest alog out, nikupatie klorokwini zile za sugar coated, u r special kastama.Klorokwin kichwa cha niuma sasa..
tumsubirie ze finest alog out, nikupatie klorokwini zile za sugar coated, u r special kastama.
halaf skujua kwamba TF ni memba hai wa kikundi cha mchiriku cha jagwa. dah! juzi walikuwa wanapiga laiv chochoro za tandale. MC wao ana viatu vina marangi kama bendera ya Bukina Faso. Halaf Ze finest mwenyewe alikuwa kadondoka na jinzi belti kamba ya kitani. khaaa! Bwana Yesu asifiweJamani jamani Klorokwin
silikwambia usiseme kwa nguvu
tukiwa tunaongea kuhusu Mr. T
SASA cheki atakavyokuja mita kutoka huko aliko..
Mmhhh
hehehe mzee yussuf akiona hii sredi lazima kesho atoe singo jipya la tarabu, yaani fulu lyrics za rusha roho. nyinyi Afrodenzi na Lizzy ma make up yamepanda bei bana acheni kukasirika kizembe. na wewe mtummoja tunaomba uwasilishe jinsia yako kwa invizibo ili kama dume tukukabidhi aspirin kwa ushauri na kama jike mgogoro wako utashuhulikiwa na mimi. Asanteni kwa ushirikiano
Bek to ze topik: Karib Pearl na pole bana!
Ankal ulimaanisha KULOG INtumsubirie ze finest alog out, nikupatie klorokwini zile za sugar coated, u r special kastama.