afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Wapendwa wangu wa MMU
weekend hiyo inachungulia chungulia
Kabla sijaendelea nimemomwama
mpenzi wetu PEARL amerudi karibu sana
mpendwa tumefurahi kukuona tena
pole kwa yote hopeful sala zetu zilikufikia..
Tuzidi kumwombea dada Sussy ili
Naye arejee kundini..
Mimi na rafiki yangu mmoja hapa JF
Tumempoteza rafiki
Wetu wa karibu sana siku tisa leo tangu atuage..
Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina Lake Libarikiwe..
Nway wana JF nawatakia weekend njema
Upendo kitu cha muhimu na cha bure
kweli hatujui siku walaa saa ..
nawatakia upendo,amani na baraka zote weekend hii.
Amen