hehehe kamanda hapo nilikusudia ile jinsia inayokwenda honeymoon mara moja kila mwezi bana! Hivi katiba ya famasi hauielewi basi hata katiba ya maternity umeforget?
Zitto amshangaa Pinda kutojua ubadhirifuhehehe ukimaliza nishtue, namimi nimeamka na midadi kweli leo. atakaequote post yangu natongoza (NB: mabwabwa hawahusiki kwenye hii post)
Daaah babu mchana hivi
au ni style za"G6" hahahah lol
Tunaifanyia lini hafla memori yakoyaani nilipoona jina lako hafla memori zikapotea, sjui hata nilikuwa nataka kucomment nini? khaaa! kweli mapenzi ukwaju, yakikukumba utajiju!
Fellow tablet....hajakuquote huyu, inakuaje unamtongoza?
Basi niachie Keren Hapuch nami nitongozepo japo kidogo....
Nakutakia utongozaji mwema wenye mafanikio. Atakayekukataa niPM nikupe kale kadawa ka kumvuta mpenzi aliye mbali.
Lol Klorokwin:rip::rip::rip:hehehe acha niwahi press conference fellow tablet: Leo nitaongea na waandishi wa habari kuhusu "madhara ya kufanya sex jikoni wakati waifu anakaanga pilipili"
Kilimasera naungana na wewe,hapa kuna kitu nyuma ya pazia lkn si vema kabisa.
Pearl karibu dearest naamini Mungu anaendelea kukufariji,,tuko pamoja.
hehehe acha niwahi press conference fellow tablet: Leo nitaongea na waandishi wa habari kuhusu "madhara ya kufanya sex jikoni wakati waifu anakaanga pilipili"
jamani pearl its always nice to have you back,
pole once again kwa yaliyopita, sasa hivi ni kiu move one na kuombeana
jisikie nyumbani kabisa.
unasikia mpendwa, wengine wakianzisha thread za watu binafsi wanaambiwa wawaPm, hawaohao wanaotaka wengine wawapm ndio wanaoongoza kuanzisha mathread binafsi! tumechoka na unafiki, nao lazima wavue magamba sasa!
khaaaa! hivi mbona hukunitaarifu kwamba uliachana na mkorogo?
hehehe ukimaliza nishtue, namimi nimeamka na midadi kweli leo. atakaequote post yangu natongoza (NB: mabwabwa hawahusiki kwenye hii post)
Asante sana mpz Afrodenzi/mke mwenza/shostito/waukweli sijui ilikuwaje sikuona hii thread!asanteni sana watu woooote wa JF kwa sala,na mawazo,ushauri wenu ktk kipindi hiki kigum sana kwangu ol in ol life has to move on!
mmmmh mtu mmoja nadani ungeweza tu kuongea kwa utaratibu na busara kuliko kutumia maneno mabay,fine it can be hukupenda hii iwe hapa au labda kuna zako uliandika zikatolewa na kutupiliwa mbali lkn waswahili wanasema bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi wataingia watu na kukufanya mby!
Thx pipo it real had kuwa mention kila mmoja wenu lkn naamini kama familia ya JF TUKO NA TUTAENDELEA KUWA WAMOJA TUKIPENDANA,KUSHAURIANA,KUFARIJIANA NA KUSAIDIANA KADRI YA UWEZO WETU.
Mkuu unapotea sana au uko busy na Muswada wa Katibawe kweli unashangaza! Unaweza kulinganisha hii useful sred na zile za watu kuzimikiana?kumisiana?mwisho utasema hata sred za hapi basdei,hongera 4 a new baby born, n.k zisiwepo maana kuna pm!! Pearl karibu mama na pole Mungu ndiye faraja ya kweli.
Mkuu tumekutafuta vituo vyote vya polisi hatimaye umepatikanaKaribu sana Mkuu, Maisha lazima yasonge mbele.
Respect.