Karibu nyumbani

Karibu nyumbani

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Kwako mpendwa,

Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula.

Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata kama umetoka kula.

B8247061-6152-4C7F-A53C-913A4A11C309.jpeg

99724F4F-1E53-44C4-AFBF-805168364869.jpeg

Niko pembeni, ukisema umechoka kwa safari basi ntakulisha kama kinda anavyolishwa na mama yake...😊.

Wako Tashtiti......

Mnyamwezi wa Pwani.
 
Kwako mpendwa,

Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika... ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula.

Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata kama umetoka kula....

View attachment 2026700

View attachment 2026701

Niko pembeni, ukisema umechoka kwa safari basi ntakulisha kama kinda anavyolishwa na mama yake...😊.

Wako Tashtiti......

Mnyamwezi wa Pwani.
Haka katoto kanakipururu..😁
 
Unyamwezini hapo juu ulichoniwekea ni appetizer, Msosi wenyewe bado kabisa!

Aahahahhahahaaaa looh...!

Najua mgeni wangu anapenda kula nyama maana anakotokea (asili yao) wanafuga ng’ombe.

Ila leo nimemkaribisha na chakula cha mbwambao, kisha baked beef baaae baada ya kuondoa uchovu wa safari 😊.

Kasie SomeFood😋.
 
😂 We mi nipo sawa.

Kioo hiki hapa, jiangalie utaona nanihii imekaa upande na nanihii haijakaa majali pake vizuri na nanihii inaning’inia kwenye sarawili....😆😆😆😆😆

Sasa unakuwaje sawa hapo, ona sasa, eti ooh mi mgumu sijiangalii kwenye kioo...

Kumbe kipururu kimewaka....😆😆😆😆
 
Takudunda kasie
 
Nakuitia mtu wangu tuu (Kibogoyo)

Anakudundaaaaaa 🤣🤣🤣🤣

Halafu tunakurudisha kwako na kibendera cha kipururu😆😆😆😆😆
Mi sipigani na vizee sikuhizi!
Si unaona hata mnachopikiana si urojo huo! Wasukuma lete kitu cha Dona lenye unga wa muhogo huku pembeni kukiwa na samaki ikisindikizwa na mboga ya majani yenye karanga nyingiiii..😋
 
Mahaba unayajulia wapi weweee....

Tulia usome 🤣🤣🤣🤣🤣

Shurti mtu anarambishwa vionjo vya Pwani....🤪

Hapo bado karanga na asali vinamsubiri, mtindi na matobolwa...

Sio kila siku wali harage akuuu....!
 
Mahaba unayajulia wapi weweee....

Tulia usome 🤣🤣🤣🤣🤣

Shurti mtu anarambishwa vionjo vya Pwani....🤪

Hapo bado karanga na asali vinamsubiri, mtindi na matobolwa...

Sio kila siku wali harage akuuu....!
Karanga na asali sawa hapo jiandae kwa Vita ya tatu ya dunia.. mi apenda chamaki..😋
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom