Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Nov 30, 2021 Thread starter #41 Bujibuji Simba Nyanaume said: Umenikumbusha lile fungu kuuuubwa la yule babu kwa 5k tu Click to expand... Aahahahahhaaaaaaa una kumbukumbu... Nimeshamvizia sana bila mafanikio... Hajui tuu ugwadu alioniachia....
Bujibuji Simba Nyanaume said: Umenikumbusha lile fungu kuuuubwa la yule babu kwa 5k tu Click to expand... Aahahahahhaaaaaaa una kumbukumbu... Nimeshamvizia sana bila mafanikio... Hajui tuu ugwadu alioniachia....
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Nov 30, 2021 Thread starter #42 Mr Miller said: nitaanza kesho kuwa mwepesi kuongea Click to expand... Hongera kwa maamuzi na, Kila la kheri.... Madomo zege watapungua mtaani pindi utapoanza kuongea 😜😜🤪🤪🤪
Mr Miller said: nitaanza kesho kuwa mwepesi kuongea Click to expand... Hongera kwa maamuzi na, Kila la kheri.... Madomo zege watapungua mtaani pindi utapoanza kuongea 😜😜🤪🤪🤪
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 77,929 Reaction score 165,270 Nov 30, 2021 #43 Kasie said: Aahahahahhaaaaaaa una kumbukumbu... Nimeshamvizia sana bila mafanikio... Hajui tuu ugwadu alioniachia.... Click to expand... Nikuletee lini?
Kasie said: Aahahahahhaaaaaaa una kumbukumbu... Nimeshamvizia sana bila mafanikio... Hajui tuu ugwadu alioniachia.... Click to expand... Nikuletee lini?
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Nov 30, 2021 Thread starter #44 Bujibuji Simba Nyanaume said: Nikuletee lini? Click to expand... Hata kesho au iijumaa....🤪🤪👍🏼 Naandaa pilipili na ndimu kabisa 😜😜
Bujibuji Simba Nyanaume said: Nikuletee lini? Click to expand... Hata kesho au iijumaa....🤪🤪👍🏼 Naandaa pilipili na ndimu kabisa 😜😜
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Dec 1, 2021 Thread starter #45 wajingawatu said: kwa upishi huu lazima utaachika. Chakula kinaonekana kimekua overcooked, hakina flavor, hakivutii kula, Click to expand... Nshaachika mkuu....! Saivi nmapikia pussy wangu namlisha...😎.
wajingawatu said: kwa upishi huu lazima utaachika. Chakula kinaonekana kimekua overcooked, hakina flavor, hakivutii kula, Click to expand... Nshaachika mkuu....! Saivi nmapikia pussy wangu namlisha...😎.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 39,375 Reaction score 94,643 Apr 13, 2024 #46 Bibi unifundishe na kupika wengine jikoni mpk tushikiwe fimbo [emoji1787]