KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,757
- 86,406
Mengine sio mahaba ni mahuba..😁Utayajulia wapi Mahaba ya Pwani....!😅
Tulia usome basi, ukishindwa kuchukua notisi rekodi utasikiliza baadae 😅😅
Mengine sio mahaba ni mahuba..😁Utayajulia wapi Mahaba ya Pwani....!😅
Tulia usome basi, ukishindwa kuchukua notisi rekodi utasikiliza baadae 😅😅
Nmeungalia huo msosi wa mwanamama wa kinyamwezi aishie pwani daah...Kwako mpendwa,
Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika... ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula.
Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata kama umetoka kula....
View attachment 2026700
View attachment 2026701
Niko pembeni, ukisema umechoka kwa safari basi ntakulisha kama kinda anavyolishwa na mama yake....
Wako Tashtiti......
Mnyamwezi wa Pwani.
Kwako mpendwa,
Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula.
Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata kama umetoka kula.
View attachment 2026700
View attachment 2026701
Niko pembeni, ukisema umechoka kwa safari basi ntakulisha kama kinda anavyolishwa na mama yake....
Wako Tashtiti......
Mnyamwezi wa Pwani.

Hapana banaaa....
Vionjo vya mahaba tuu....![]()
mahaba kwa bamia na nyanya chungu kama mapenz yamekwisha si mseme tu jamani kuliko kulishana asidi badala unawiri una dhoofu. Aaaaiyiimahaba kwa bamia na nyanya chungu kama mapenz yamekwisha si mseme tu jamani kuliko kulishana asidi badala unawiri una dhoofu. Aaaaiyii
Tangu siku ile tulipoachana.....
Pale Samaki Samaki, ulipoondoka tuu mie nikaagiza kisinia, nikala hadi wengine nikafungiwa nikawakule nyumbani.
Umenikumbusha lile fungu kuuuubwa la yule babu kwa 5k tuKwako mpendwa,
Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula.
Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata kama umetoka kula.
View attachment 2026700
View attachment 2026701
Niko pembeni, ukisema umechoka kwa safari basi ntakulisha kama kinda anavyolishwa na mama yake...😊.
Wako Tashtiti......
Mnyamwezi wa Pwani.
Ukiwa mzito kuongea hupati kitu....![]()