Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

IV apo kuna magari ya kwenda mikumi (kwaajili ya mtalii) yanapatikana muda gan?
Hapo yapo yanayoenda mikumi ukishafika mikumi ndio unaenda kufanya process zako za kuingia mbugani
 
Panapendeza patunzwe basiii, isiwe kama uwanja wa Taifa.. Umechakaa mapema
 
PANYA ROAD wanasumbua CHAMWINO na MWEMBESONGO, Moro si salama kiivo!
 
Mkuu Moro sasa hivi inakaliwa na wachagga ,wasukuma na wanyakyusa kwahyo inaendelea sana ..
Waluguru waliiharibu moro
Khaaaaaaaaa!! wabongo kwa hila hamjambo! mlianza dar mkaja dodoma saivi mko mji wa milima, moro, duuuh mmezidi kwa majungu, tuambie we unatoka wapi tukuchambue kama salome wa raymond
 
Sasa hivi kama Athens .. Karibu sana Mkuu .. Hapo ukishuka tu utakutana na gwami hotel kingsway, midland na flomi hotel .. Ukitaka mwenyeji mm nipo ntakuliwazaaa mpaka lukwiri... Ukitaka kutalii utaelekezwa mikumi, selou n.k ukitaka kubalizi beach hapo sasa ndio utapelekwa
Mindu dam hapo jiandae kukumbana na harufu ya tope na shombo ya samaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante mkuu,nikitaka kuja mwenyeji yupo [emoji12]
 
PANYA ROAD wanasumbua CHAMWINO na MWEMBESONGO, Moro si salama kiivo!
Panya road hawapo kabisa kwasasa.. Tumewatanguliza sana mbele ya haki tulikuwa tunawakamata na kuwakata mishipa baadae tunawaita porisi na kuwapa.. Ila zamani palitisha sana kulikuwa na majambazi balaa lakn ilivyokuja team ya akiba 7 6 kwakushirikiana na sisi Wa kuja tuliwanyoosha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante mkuu,nikitaka kuja mwenyeji yupo [emoji12]
Si ndio Mkuu .. Ukiwa peke yako utaboreka utajisikia mpweke[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila ukiwa na mwenyeji kama mm utaona usiku ni Mfupi
 
tutaanza,kuiba viti,kuvunja taa,kuharibu vyoo,siku chache zijazo,maana sisi waafrika sijui tumelishwa kitu gani
 
subiria baada ya miaka mitatu...tuletee feedback
Miaka mitatu mingi wewe. Miezi mitatu tu hakuna kitu hapo - vyoo vimeshaziba, viti wameshang'oa (mashabiki wa Simba marufuku kwenda Msamvu), kuta zimeshabomoka pachafu pananuka! Hatuna tabia ya kutunza miundombinu yetu...
 
Back
Top Bottom