mwanantala79
Senior Member
- Jul 30, 2015
- 125
- 102
In fact panapendeza sana ila tatizo baadhi ya watz bado wanaishi kama chimpanzee hawawezi tunza na kutumia vitu hivyo inavyostahili, believe me baada ya miaka michache tu ijayo patakuwa hapatamaniki, si unakumbuka ule uwanja wa mpira Dar? Chimpanzee wanaofanana na binadamu wakienda kuangalia mpira wanang'oa viti maajabu ya karne!Duuuuh , hapo ndo karibu na itigi