RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 2,017
- 4,468
Mambo vipi ?
Leo bhana nimekuja na mada inayotuhusu sisi wote maana wote umu naamini uwa tunasafiri na nchi hii sijui ata kama kuna chama cha wasafiri maana wasafiri tunaonewa sana na kampuni za mabasi.
Utakuta unaenda stand halafu unakatishwa ticket na unaambiwa gari itaondoka muda fulani. Kwa mfano saa 4 asubuhi utashangaa unakuja kuondoka saa 9 na gari haifiki mwisho wa safari kama walivyoandika kwenye ticket unashangaa njiani unafaulishwa tena yaani unateseka balaa mpaka unapofika mwisho wa safari yako
Hii ishu imenitokea pale Msamvu nilikuwa nasafari ya MORO-TANGA nikaenda Msamvu mida ya saa 3:00 asubuhi nikapokewa na wapiga debe wakanipeleka kwa agent wa kampuni ya magari yanayoitwa TAUSI.
Akaniahidi gari itatoka IFAKARA na kufika msamvu saa 4 asubuhi na safari ya Tanga itaanza matokeo yake gari ikafika saa 9 mchana na tukaanza safari kufika mkata wakatufaulisha kwenye coaster tena kwa kusimama.
Yaani tumekuja kufika tanga saa 4 usiku na inaonekana ndo mtindo wao kuwadanganya abiria muda na destination ya safari ,yaani wanadanganya wanafika tanga mjini ila wakifika mkata wanafaulisha
Kwa Hiyo nakushauri ukifika msamvu-morogoro kama unasafari ya TANGA usijichanganye kupanda gari inayoitwa TAUSI TRANS ambazo zinafanya safari zake IFAKARA-MOROGORO utapigwa na kitu kizito na pesa umetoa ,kama kuna gari nyingine kama izo orodhesheni maana abiria hii nchi hatuna haki kabisa na tunaonewa.