Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Ila walio pewa jukumu la kusimamia hawako makini
Vyoo ni vichafu havifanani kabisa na muonekano wa jengo kwa nje
 
dah...sawa Mkuu sasa tusemeje wakati ndo asili yetu hiyo.



Stand ya msamvu kwa sasa wanaendelea na phase ya pili.Utamu bado unaendelea

God bless my birthplace

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hakuna otherwise mkuu n
Kukubali tu maana mkataa
Kwao mtumwa
 
Huwa najiuliza nani alikuja na wazo lile na likatekelezeka maana mawazo kama hayo kwa nchi yetu yamebaki kwenye vitabu au yakitekelezwa picha na uhalisia tofauti kabisa kwa kweli ni heshima kubwa sana kwa mkoa wa Morogoro swala la wizi sijui maana nimepita hapo zaidi ya miaka mitano sasa mara kwa mara na sijaona wizi

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Msamvu ndio nini? alafu mbona pa kawaida sana yani ni kama stendi ya dala dala ya segerea mwisho.
 
PANYA ROAD wanasumbua CHAMWINO na MWEMBESONGO, Moro si salama kiivo!
Hamna kitu kama iko,kote huko sehemu salama ya kuishi

Sent from my HTC Desire 510 using JamiiForums mobile app
 
Khaaaaaaaaa!! wabongo kwa hila hamjambo! mlianza dar mkaja dodoma saivi mko mji wa milima, moro, duuuh mmezidi kwa majungu, tuambie we unatoka wapi tukuchambue kama salome wa raymond
Lazma utakuwa wa matombo wewe

Sent from my HTC Desire 510 using JamiiForums mobile app
 
Hata hivyo kimejengwa Chini ya Kiwango Mamlaka husika inabid iliangalie Hili.....

Kuna baadhi ya sehem tayari zina nyufa.....

Ila pia zile sehemu za kupita na kupaki mabasi zinatitia ya zina ups and downs (matuta) ili hali kitua akina ata mwaka.....

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huko hakuna wapenzi uchwara wa Simba na Yanga? Naona viti vimekaa vizuri tu bila kupanguliwa.
 
Back
Top Bottom