Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,639
- 7,148
Good
Kama msamvu kuna wezi je UBUNGO?Pana vijana wezi hapo hatari! Halafu ukiwaona huwezi wazania kabisa! Watu wamekuwa wakilizwa miaka nenda hapo! Ukiwa msamvu kuwa makini sana wakati wote! Tena Mimi nataka Siku nimtege mmoja awe mfano!
Wezi wapo routes zote ni suala la umakini tu ndugu,kuwa mwangalifu na begi lako basiHata ukiwa ndani ya basi iwe Abood , etc kuwa makini hata na wale wauza biscuit s, na wengine siyo abiria wenzio ni wezi , wanakulia Mingo tangu unapofika stand, unapokata tiketi , unapoweka kamzigo kako, inavyokaa, unavyozingatia simu etc
Hujafika morogoro ww,dodoma kuna stendi sasa?.? Au korido ya kupitisha mabasiNadhani haujafika Dodoma mtoa post
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Imeanza kutumika kama miezi 8 iliyopitaImeshafunguliwa kwa matumizi tayari?? Nzuriiii
Maana nilikuwepo msamvu mwezi wa 10 mwaka jana, niliona ilikuwa On progress.Imeanza kutumika kama miezi 8 iliyopita
Kuko vizuri sana,Ile project ikiwa endelevu itakuwa safi sana,maana nilisikia wanataka kujenga na hotel ya 4 starsMaana nilikuwepo msamvu mwezi wa 10 mwaka jana, niliona ilikuwa On progress.
Nzuri sana.
ww akilinjema, stand ya msamvu sio kama unayoijua ww, sasa hv wamefunga camera pale ivyo tukio lolote linalotokea liwe la uharifu ama jambo lolote lile la kustaajabisha ww unaenda pale control room kuna camera pale ambayo ina rekodi matukio yote pale unaona, iwe umeibiwa au vp unaangalia kwenye camera pale
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app