Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

Tembea stendi ya Singida yaani ikishakamilika itakuwa funika zote
Acha kabisa
Nawapongeza sana halmashauri ya Singida mjini
Kazi nzuri kwakweli

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Pia Kuna stand ya mbinga mkoani Ruvuma ni nzuri sana aisee

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Pana vijana wezi hapo hatari! Halafu ukiwaona huwezi wazania kabisa! Watu wamekuwa wakilizwa miaka nenda hapo! Ukiwa msamvu kuwa makini sana wakati wote! Tena Mimi nataka Siku nimtege mmoja awe mfano!
Lini hiyo? Labda unaongelea msavu ya zamani. Kwa mazingira ya sasa hiyo kitu sijaishuhudia
 
Sijaenda moro muda kidogo ila nachojua kule ndan hakuna wauza biscut wala maji,mle ndani kuna biashara rasmi tu. Uwezi kukuta machinga ndani mule
Huyo jamaa inaelekea hajaja Moro kitambo. Aliondoka msamvu kukiwa na vumbi!
 
Pana vijana wezi hapo hatari! Halafu ukiwaona huwezi wazania kabisa! Watu wamekuwa wakilizwa miaka nenda hapo! Ukiwa msamvu kuwa makini sana wakati wote! Tena Mimi nataka Siku nimtege mmoja awe mfano!

Hata ukiwa ndani ya basi iwe Abood , etc kuwa makini hata na wale wauza biscuit s, na wengine siyo abiria wenzio ni wezi , wanakulia Mingo tangu unapofika stand, unapokata tiketi , unapoweka kamzigo kako, inavyokaa, unavyozingatia simu etc
Wakuu niwatoe hofu kabisa stand ni ya kisasa kweli ni ya kisasa, sasa hiv kuna Cctv Camera kila sehemu na zinarecord umbali wa mita 100, vijana walikamatwa sana mara ya kwanza ila sasa wameshika Adabu, ukifika we Jiachie tu wala usiwe na wasi tena......!
Sijaenda moro muda kidogo ila nachojua kule ndan hakuna wauza biscut wala maji,mle ndani kuna biashara rasmi tu. Uwezi kukuta machinga ndani mule
 
Ni ya kawaida sana isipotunzwa itakuwa kama ya kwenu ya Ubungo
 
Pana vijana wezi hapo hatari! Halafu ukiwaona huwezi wazania kabisa! Watu wamekuwa wakilizwa miaka nenda hapo! Ukiwa msamvu kuwa makini sana wakati wote! Tena Mimi nataka Siku nimtege mmoja awe mfano!
Walikuibia kaka?

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Watu wa bara wakifika Msamvu bus Terminal hudhani wamewasili ktk jiji la Bandar ya Salama,Wengine ,Isingekuwa matangazo yatolewayo na makonda ktk mabasi ya mikoani hakika wengi wangekuwa wanaishia mji kasoro bahari [emoji23] [emoji23]View attachment 538458 View attachment 538459
Jiji letu la Dar pamoja kuwa ndio centre ya mabasi yote ya nchi hii na kituo kinacho kusanya mapato makubwa kuliko kituo chochote nchini mpaka leo wameshindwa kujenga kituo cha hadhi, hawa punda wa manispaa za jiji hili kazi yao kutafuna hela tuu, hakuna wanachokifanya kuboresha jiji hili pamoja na kuwa na vyanzo lukuki vya fedha, si barabara si hospitali si bustani! Ulaji mtupu!!

Sent from my IM-A860L using JamiiForums mobile app
 
Umewahi kufika BUKOBA BUS STAND?

Mpaka ndege zinatua
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Aiseeee waruguru wamejarbu
Pamoja na ufupi wao lakin
Wako mbele hongeren sana
 
Aiseeee waruguru wamejarbu
Pamoja na ufupi wao lakin
Wako mbele hongeren sana
dah...sawa Mkuu sasa tusemeje wakati ndo asili yetu hiyo.

Stand ya msamvu kwa sasa wanaendelea na phase ya pili.Utamu bado unaendelea

God bless my birthplace
 
Back
Top Bottom