Mwalimu JF-Expert Member Aug 21, 2008 1,581 1,069 Feb 16, 2012 #1 Attachments Tukuyu.jpg 127.8 KB · Views: 1,309 tukuyu16.jpg 19.9 KB · Views: 1,230 1.1316432152.kaparogwe-falls.jpg 42.5 KB · Views: 2,053 1.1310470102.in-the-banana-plantation.jpg 60.1 KB · Views: 1,264 IMG_0824.jpg 25.3 KB · Views: 1,368
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Feb 16, 2012 #2 nishafika hadi LAKE NGOZI mkuu.
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Feb 16, 2012 #3 Such a nice place!...Nimeziona ndizi Kisukari, oohhh my!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,097 Feb 16, 2012 #4 PakaJimmy said: Such a nice place!...Nimeziona ndizi Kisukari, oohhh my! Click to expand... Wahaya wanaziita AKANANA
PakaJimmy said: Such a nice place!...Nimeziona ndizi Kisukari, oohhh my! Click to expand... Wahaya wanaziita AKANANA
N ngwilulupi Member Jul 10, 2009 10 1 Feb 16, 2012 #5 mwe naloli kumitu kununu fijo.......yaani kwetu pazuri.nice pics mdau.
mfianchi Platinum Member Jul 1, 2009 11,855 8,253 Feb 16, 2012 #6 Kukaja kununu,hebu tembelea na Matema beach,ngoja nianglie picha zingine nilizonazo niongezee hapo ,Mbeya Kwetu
Kukaja kununu,hebu tembelea na Matema beach,ngoja nianglie picha zingine nilizonazo niongezee hapo ,Mbeya Kwetu
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,097 Feb 16, 2012 #8 Preta said: Preta..... safarini Tukuyu..... Click to expand... Bon Voyage Mon Ami
I Ikunda JF-Expert Member Jul 12, 2010 718 151 Feb 16, 2012 #11 Tukuyu inapendeza, big up kwa wazawaoa
I Ikunda JF-Expert Member Jul 12, 2010 718 151 Feb 16, 2012 #12 Safari_ni_Safari said: Click to expand... we ndiye ulievaa tisheti ya blue? lol
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,097 Feb 16, 2012 #13 Ikunda said: we ndiye ulievaa tisheti ya blue? lol Click to expand... Ningejipiga picha?
Mabagala JF-Expert Member Nov 27, 2009 1,477 325 Feb 16, 2012 #15 aisee nimepatamani ghafla, utalii wa ndani mara hii itakuwa ni huko, si zanzibar tena. mwenyeji pliz tuwasiliane, naja kipindi cha pasaka huko
aisee nimepatamani ghafla, utalii wa ndani mara hii itakuwa ni huko, si zanzibar tena. mwenyeji pliz tuwasiliane, naja kipindi cha pasaka huko
omujubi JF-Expert Member Dec 6, 2011 4,325 2,498 Feb 16, 2012 #17 Mwalimu said: View attachment 47450 View attachment 47451 Click to expand... hii imenikumbusha kijijini kwetu hapa kanda ya ziwa! Unajua kuna vijiji ambavyo ukienda hapa BK unashindwa kuamini uzuri wa uumbaji, naona na Tukuyu inareflect kitu kile kile hasa hizi picha mbili, du!
Mwalimu said: View attachment 47450 View attachment 47451 Click to expand... hii imenikumbusha kijijini kwetu hapa kanda ya ziwa! Unajua kuna vijiji ambavyo ukienda hapa BK unashindwa kuamini uzuri wa uumbaji, naona na Tukuyu inareflect kitu kile kile hasa hizi picha mbili, du!
M Malila JF-Expert Member Dec 22, 2007 5,149 4,674 Feb 16, 2012 #18 ngwilulupi said: mwe naloli kumitu kununu fijo.......yaani kwetu pazuri.nice pics mdau. Click to expand... Hata malaria hakuna, lol
ngwilulupi said: mwe naloli kumitu kununu fijo.......yaani kwetu pazuri.nice pics mdau. Click to expand... Hata malaria hakuna, lol
Mwalimu JF-Expert Member Aug 21, 2008 1,581 1,069 Feb 16, 2012 Thread starter #19 Preta said: Preta..... safarini Tukuyu..... Click to expand... Mwe...ukirudi tuletee makatapela please!
Preta said: Preta..... safarini Tukuyu..... Click to expand... Mwe...ukirudi tuletee makatapela please!
Mwalimu JF-Expert Member Aug 21, 2008 1,581 1,069 Feb 16, 2012 Thread starter #20 Kitu kingine ninachopendea tukuyu ni hali ya hewa....hakuna baridi kali sana kama mbeya mjini na hakuna joto kama kyela, beautiful place!!
Kitu kingine ninachopendea tukuyu ni hali ya hewa....hakuna baridi kali sana kama mbeya mjini na hakuna joto kama kyela, beautiful place!!