Karibu Dom .........The Finest

mmmmmhhhhh haya bana lakini hala hala mti na jicho,hope pharmacy za dodoma zina vitendea kazi vya kutosha!
Hahaha! Bishanga mie memiss wewe sana!...vitendea kazi atakuja navyo TF,...

Tumefungua na TF ofisi ya kufanya kanseling kwa wana ndoa wenye migogoro,vipi ndoa yako iko swalama swalimini? Karibu sana.
 
Aisee nyie balaa.
Mmeshaninukuu huku?
sasa kama mtu hutembeitembei si unaweza kukuta unasimangwa.
Nashukuru mungu mie sijakusimanga manake ningekoma leo...

Nahisi hasira zote za wezi wa jf (haswa mmu)ungezimalizia kwangu, lol. Uwe unatembea tembea kidogo kiritimba, utapitwa ati uking'ang'ania mmu muda wote!
 
asante...halafu hata nikiwa na hasira vipi huwa nakuwa mpole kwa warembo...tena mtoto mtamu kama wewe (sweetlady) ndo kabisaa.
 
mimi mbona hunikaribishi? Unaninyanyapaa kisa naishi mpwapwa. Lol

Hujawahi tanabahisha ukazi wako kwa mkoa huu.............na last tyme nilkuambai tukutane nyerere square tuwaone wale mabinti wanjianika hukutokezea!
 
Back
Top Bottom