Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Huyu atakuwa mlinz pale maana anaulizwa maswali ajibu in maana hana uelewa wowote kuhus NIT
 
Mkuu mimi imechaguliwa udsm education but nataka kuhamia nit logistic and transport management hivi itawezekana na nafasi zipo?
 
Jaman hivi hiki chuo majina bado hawajatoa tu....?? Naomba kujuzwa tafadhari.

majina yatatoka soon..chuo chetu huwa kinachelewaga kutoa majina...ila mda upo coz chuo kinafunguliwa mwez wa 11 tar 14..nadhan next wk mzigo utakua ready
 
usimdharau ucyemjua..ok mi ni mlinz NIT bt nataka kusaidia vijana wenzangu waelimike wapate kaz bora wanitoe kwny ulinzi..wewe usiye ht na hyo kaz ya ulinz kinakuwasha nn..mbn baba ako anakusomesha kwa kaz yake ya kuzibua vyoo husemi..unaona walinz tu
 
0752 846841 & 0685 645615,,tutaftane kwny namba hzo pale ninsapokosekana huku kwny JF
 
Hahahah.... Hv Nit pale makut ndio nn kile kilikua kinaendelea j.moc. mbona wale vjana wa Certificate na Foundation walikosa ustarab ni Freshers gan ile asa... Kila mtu anajifanya yy ndio kiongoz.. ma. MC Kibao Dah... 😁
 
Vipi kuhusu hostel,
I need a room for my dota;
Tusemezane hapa hapa kama inawezekana.
 
usimdharau ucyemjua..ok mi ni mlinz NIT bt nataka kusaidia vijana wenzangu waelimike wapate kaz bora wanitoe kwny ulinzi..wewe usiye ht na hyo kaz ya ulinz kinakuwasha nn..mbn baba ako anakusomesha kwa kaz yake ya kuzibua vyoo husemi..unaona walinz tu

haaa haa haa haa... umepanic bro, sor nimekukosea ila unapotoa thread kama hii watu tunahitaji majibu, xo sor
 
Back
Top Bottom