Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

me 2 nmechagiliwa nit logistc & trnspt management vp hostel znapatkana kwel
 
Automobile ni course ya muda mrefu hapo nit ila mechanical imeanzishwa nadhani sasa ndio inatimiza miaka 2
 
Rozey kuhusu hostel zipo chache ila unaweza kupata hostel za nje ya chuo hivyo usihofu sana
 
Hahahah.... Hv Nit pale makut ndio nn kile kilikua kinaendelea j.moc. mbona wale vjana wa Certificate na Foundation walikosa ustarab ni Freshers gan ile asa... Kila mtu anajifanya yy ndio kiongoz.. ma. MC Kibao Dah... 😁
Mambo ya freshaz usilete huku
 
Kuhusu kubadilisha cz unaweza kupata maelekezo vzr kutoka TCU kama walivyoelekeza nathani ukilisoma tangazo lao litakata kiu yako yote.
 
Nataka nisome human resource hapo nina D2,E3 kwa certificate inawezekana
 
Back
Top Bottom