Kuna maeneo yametengwa for smoking, ila ni Sportman tu! Ondoa shaka!
Babu haw vijana hatari sana, kuna room nimeiona imeandikwa SMOKE WHATEVER U WHISH, nina wasiwas... na hiyo kitu.
ahah! We mrembo sana, ndio maana huwezi chezea vitasa
CC: Kwa Waume zangu woote.
Hadi yule nae ni wako? lol!
it is good, vipi kwako? upo kitengo kipi leo?
Shwari kabisa.
Kitengo cha nini tena leo ni siku ya bwana.
Nitapotea muda si mrefu, missa za jumapili haziishagi!